Lissu: Ninaamini katika itikadi ya ujamaa tangu zamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lissu: Ninaamini katika itikadi ya ujamaa tangu zamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kilombero yetu, Jun 21, 2011.

 1. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  AKIHOJIWA NA GAZETI LA RAIA MWEMA LA JUNI 9-JUNE 14,2011. LISU ALISEMA;

  ".................nilikuwa mwana ccm wakati ule wa chama kimoja usingeweza kuingia chuo bila kujiunga na chama.mara baada ya vyama vingi nilikuwa mwanachama wa NCCR MAGEUZI...Nisingeweza kuwa chadema kwasababu kilikuwa chama kisicho na msimamo mkali...hao watu walikuwa waoga wanaogopa kuweka msimamo mkali.nikama chama cha kibepari hivi na mimi kimsimamo nimekuwa mjamaa..."WADAUUUU

  sasa cdm itikadi ni ubepari, je itafikia malengo kwakuwa na watu wenye itikadi nyingine ndani ya chama?kwakuwa mbowe alisema bungeni juzi kuwa ubepari katika dunia ya sasa hauepukiki.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  CRAP Crap
  ccm na chdma nani bepari?
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @Tumaini letu, tafuta manifesto ya chadema 2010 (chadema website) na utaona wao wanafuata itikadi gani. In case inakuwa tabu basi CHADEMA wanafuata mlengo wa KATI.
   
Loading...