Chama cha mapinduzi kina sera endelevu ndio maana kinazidi endelea kupeta kwenye zama hizi za siasa za ushindani.
Nianzie karibu ili nisiwachoshe.JK aliingia kwa gia iliyokuwa ikisomeka kuwa ARI...
Tuanza na hili, Richmond(rushwa)-----Dowan(rushwa)-----Symbolic power( AGENDA 2015)= Marekani kutukuza rushwa kwa kukubali mitambo hiyo inunuliwe na kampuni kutoka nchini mwao. Na kubariki ununuzi...
Hii ndio capital city yetu lakini inashagaza na kutuangusha sana;
Uchafu
Foleni; (mwendo wa kilomita 1 unakwenda masaa3). Watu tuliiii kisa amani!!
Barabara mbovu na chafu ...tena ktk maeneo...
Baada ya minyukano kadhaa ya kifikra na maoni ndani ya bunge na kwa wananchi kiujumla for the last one month. Nimejikuta nimeikumbuka barua hii ya Mwanamapinduzi wa karne Che Guevara akimuandikia...
Zitto, alituhumu Baraza la Mawaziri kushawishiwa na watu fulani ili kulifuta Shirika Hodhi la Mali za Mashirika ya Umma (CHC) kwa faida ya wachache ambao wana maovu yao katika taasisi za fedha na...
Nimepigiwa simu muda si mrefu jimboni kwa Mh E. Maige kumewaka moto baada ya mbunge huyo kuwaahdi wananch wa jimbo hilo kuwa atawaletea umeme na kuwajengea barabara na matokeo yake kafunga...
Ktk utetezi wa posho, mtoto wa mkulima Pinda alisema zinasaidia wabunge wakitoka milangoni wanakita kuna wananchi wanawaomba hela kwa mahitaji tofauti. Kwa tafsiri rahisi haijalishi ni ndugu au la...
Zaidi ya wiki moja tumekua tukifuatilia swala la kurudishiwa pesa yetu ya radar kutokana na rushwa kwa viongozi wetu niseme RUSHWA kwa kua serekali yetu inaonekana bado haitaki kukubali kwamba...
BAE nao pia ni wezi tuu kama our tainted tz gov.
Mi nadhani kama wanataka kuwapa NGO then fedha wapewe serikali ya uingereza halafu wao ndio waratibu huo ugawaji.
La sivyo kwa hiyo E-mail BAE...
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk. James Wanyancha kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Juni 3 mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
Hao wawili walikuwepo Chuo kikuu Mzumbe kwenye mjadala wa Changamoto kuelekea jumuiya ya afrika mashariki, Mzumbe inaonyesha wanamkubali sana Sitta ila alipokusia tu suala la posho kijasho...
JE HII NI SERIKALI YA CCM?
Ndugu zangu kuna jambo naona tukiliacha liendelee hivi linavyoendelea linaweza kutuletea shida baadae,nalo ni hili la wabunge wa CCM na msemo wao wa Serikali ya...
Waungwana wanaJF, naomba nioneshe msimamo wangu kuwa mimi ni CHADEMA damudamu, lakini kuna mambo mawili nataka niwashirikishe.
1. Wakati naangalia kipindi cha Bunge Juzi jioni niliona namna...
Katika serikali ya kikwete ni rahisi sana kupata haki yako pindi unapodhulumiwa au kunyanyaswa, mimi binafsi nilishawahi kutwangwa barua ya kulipa sh milioni mbili na TANESCO, kisa jamaa...
Written by makame silima // 25/06/2011 // Habari // 6 Comments
Mbunge wa Chwaka Yahya Kassim Issa(ccm)
Saturday, 25 June 2011 09:59
Kizitto Noya, Dodoma
HOJA kuhusu Muungano imeibuka upya...
Wajumbe kwa mujibu wa taharifa zilizonifikia Dr. wilbraod Slaa leo live viwanja vya kampala ndani ya jimbo la ukonga .ukifika gongo la mboto mwisho kuna kiwanja cha kampala karibu na kiwanda...
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 24/06/2011 // Vidio // 7 Comments
Related PostsVideo:Zbar inatisha kwa uingiaji na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Video:Min. Farrakhans Full Press Conference...
Kwanza nianze kwa kusema ninamheshimu sana Waziri mkuu wangu Pinda, ajiitaye mtoto wa mkulima, lakini kwa hili la kutoa hoja dhaifu kuhalalisha posho za vikao naomba kutofautiana naye.Hebu...
HONGERA CDM
Si rahisi kutoa hongera yangu kirahisi rahisi. Katika muda huu na nyakati hizi, natuma salamu za Hongera kwa wabunge woote wa CDM Dodoma. Kazi nzuri, hoja nzuri, mmejipanga vizuri...