Jimboni kwa Maige: wananchi waandamana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimboni kwa Maige: wananchi waandamana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Edson Zephania, Jun 24, 2011.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimepigiwa simu muda si mrefu jimboni kwa Mh E. Maige kumewaka moto baada ya mbunge huyo kuwaahdi wananch wa jimbo hilo kuwa atawaletea umeme na kuwajengea barabara na matokeo yake kafunga jenereta nyumbani kwake pekee. Watu wameandamana kudai umeme na barabara, polisi wazidiwa nguvu waenda kuongeza nguvu. Nyumba ya Mh. Maige yavunjwa vioo
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ngoja wambane,wananchi walishashtuka siku hizi.
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  inabidi wananchi wawe wavumilivu jamaa hajamaliza hata mwaka tangu achaguliwe.
   
 4. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kumbuka ni waziri tangu bunge la 9.
   
 5. x

  xman Senior Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi Maige ni mbunge wa wapi vile...?
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hili litakuwa somo kwa wabunge wanaopenda kutoa ahadi tele na hawazitekelezi. Ngoja onje joto la jiwe.
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  ukiona ambari jua zinduna liko njiani laja... simbachawene yeye kasema wananchi wake hawana shida hata kidogo sijui huko kwake kuna uspecial gani
   
 8. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbunge wa kahama, wananch wamevamia nyumbani kwake segese
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Maige anachojua ni kusafirish WANYAMA PORI kwenda uarabuni
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  ananenepa mashavu tu
   
 11. e

  ebrah JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inapendezxa kuona watu wameamka! cha msingi si muda aliopo bunngeni ila mikakati aliyonayo kuhusu mambo hayo! jamaa ni chenga! wananchi wameshaona kuwa wameibiwa!
   
 12. x

  xman Senior Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maige namwonea huruma maana ata kama hakipeleka huo umeme bado hao wananchi watakuja kuhoji habari ya mgao, yani ni tabu kweli kweli....
  lakini umeme ni haki yao na yeye aliwaaidi Maige kajibu hoja KAHAMA
   
 13. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ubinafisi ubinafisi kila mahali ubinafisi
   
 14. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wilaya ya Kahama ina majimbo mawili ya uchaguzi:
  Kahama Mjini ambalo mbunge wake ni mh. James Lembeli (CCM)
  Msalala ambalo mbunge wake ni mh. Ezekieli Maige (CCM).
   
 15. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Wa Chama gani??
   
 16. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waziri wa Maliasili na Utalii toka CCM.
   
 17. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  msalala-kahama
   
 18. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  RPC ndo anaelekea eneo la tukio. Bado ni rabsha kat ya Police na wananchi.
   
 19. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jazba nyingine za kipuuzi. Miezi sita tu imepita wanaanza kulalamika. Walitaka kila mtu apewe jenereta? Wanamuonea na vitendo hivyo ni vya kihalifu.
   
 20. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mpk sasa kuna majeruh ambao idadi yao haijafahamika.
   
Loading...