PINDA: Wananchi njooni Dodoma, posho ni zenu tunawachukulia tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PINDA: Wananchi njooni Dodoma, posho ni zenu tunawachukulia tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malunde-Malundi, Jun 25, 2011.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ktk utetezi wa posho, mtoto wa mkulima Pinda alisema zinasaidia wabunge wakitoka milangoni wanakita kuna wananchi wanawaomba hela kwa mahitaji tofauti. Kwa tafsiri rahisi haijalishi ni ndugu au la wabunge wakikutana na wananchi milangoni basi watawasaidia na hiyo hela inatoka ktk posho. Sasa naomba serikali iweke wazi tuanze kutembelea waanchi wote wa Tanzania tuwatembelee wa8unge wetu tupate chetu yaani posho inayochukuliwa kwa ajili yetu. Wananchi zaidi ya milion 30 watu wazima watembelee dodoma sasa na ukifika omba hela maana imeshachukuliwa na mbunge wako kama posho ya wananchi kwa kazi hiyo. Naomba wananchi walitekeleze hilo na bila uoga pia wabunge sasa wasilalamike au kutoa maneno mengi maana kwa tamko la pinda maanake ile ni haki ya wananchi na vema waichukue yote ndio itakuwa imefanya kazi yake. My take: Namuomba sana Pinda kama kuna kitu hana jibu nalo kama yeye maana yeye ni mtu wa kupokea tu maagizo hata kama pumba basi aitahidi kuwa anachanganya na za kwake au awe anaomba muda kutoa ufafanuzi kuliko anavyojiaibisha
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mi ntaenda kwa mkuro na azzan....wote ni wabunge wangu
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes, kila mtu posho zilishachukuliwa kwa ajili yetu pinda kasema huwa tunaenda mlangoni
   
 4. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Nadhani kuna kamtindio ka u..ngo! sababu ya hao waheshimiwa kutetea kupewa au kuchukua posho haina maantiki. Ni kweli kama mtu huna cha kusema bora kunyamaza!
   
 5. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda si kiongozi bali ni kiongozi upepo yeye na Chama chake cha mafisadi CCM wamejaa dhuruma kwa watanzania,wameiba kodi za watanzania,hukumu yao ipo hapa hapa duniaani.
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Viongozi wa cc magamba ni wasalti wa hali ya juu,huyu jamaa wakati anateuliwa alikuwa anaonekana ni mtu asiyependa makuu,mwenye busara na makini sana kutetea wananchi.Alikuwa anajibu maswali kila moja anaridhika kwamba tuna waziri mkuu jembe!.JK naye alikuwa hivyo hivyo watu walijenga imani kubwa sana kwake mpaka wengine wakawa wanakufuru eti 'JK ni chaguo la Mungu' Waulize hii leo waliokuwa wanamsemea Mungu kama watathubutu kusema hivyo.SIJUI kama wameshatubu hiyo dhambi ya kukufuru na kusema uongo.Pinda amejidhihirisha safari hii kuwa ni kiongozi asiyekuwa na msimamo,mwoga na zaidi ya hayo ni MWONGO.
   
Loading...