Video:Sheikh Azan amtolea uvivu Dr.Bilal na kero la muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video:Sheikh Azan amtolea uvivu Dr.Bilal na kero la muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Jun 25, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1][/h]Written by Mrfroasty (Ufundi) // 24/06/2011 // Vidio // 7 Comments
  [h=4]Related Posts[/h][h=3]Video:Z’bar inatisha kwa uingiaji na utumiaji wa madawa ya kulevya.[/h]
  [h=3]Video:Min. Farrakhan’s Full Press Conference on US, NATO attack on Libya[/h]
  [h=3]Video:Karume’s lecture at Boston University[/h]


  [h=3]Mushawahi kuona video hii ? Ina tofauti gani na tukio la pwani mchangani ?[/h]
  [h=3]Video:Kongomano la katiba – Ecroternal Zanzibar[/h]

  [h=3]7 Comments on "Video:Sheikh Azan amtolea uvivu Dr.Bilal na kero la muungano"[/h]


  1. Stonetown (Kiongozi) 24/06/2011 kwa 11:36 um · Jibu
   Tatizo la viongozi wetu wengi, huwa wanataka madaraka, lakini wakipewa huwa hawajui pa kuanza wapi, na kisha hutafuta ama hupandikiziwa washauri wabaya.
   Ni imani yangu kuwa wengi katika hawa viongozi hawajapatapo kufikiria mauti na wala sidhani kwamba wanayakini kama hata wakifa watakuja kufufuliwa na kuulizwa yote.
   Kama kweli wanayo imani hiyo wasingalifanya wanayoyafanya. “Eww Mola wetu mlezi, Mlinzi wetu, tulinde na kila anaekuja na shari zake za kutuangamiza, wafunue macho viongozi wetu wape hekima na uwezo wa kuamua lenye kheri na Nchi yetu”  2. Junior 25/06/2011 kwa 6:52 mu · Jibu
   Hongera na ahsante sana Sheikh Azan kwa kusema ukweli bila ya kigugumizi na kutafuna maneno.
   Allah (s w) akubariki na kukupa afya njema ili uzidi kufunua maovu, dhulma na idhilali inayofanyiwa Zanzibar na watanganyika pamoja na muungano.
   Allah pia ibariki Zanzibar na wote wanaoipenda Zanzibar  3. @Gombani 25/06/2011 kwa 7:41 mu · Jibu
   Insha allaw sh.Azan tuko pamoja nawewe kwa kila njia ,mw. mungu akupe maisha marefu ili tuwe nawe ndani ya ukombozi wetu wa zanzibar ,kwani ni wachache kama ww au hatuna hapa zanzibar kama ww, wallahi nakula kiyapo tupo ,ambao hutujali tena vitisho,na tuko tayari kwa lolote lile,asante sana,kwa ukweli usiopingika,MUNGU IBARIKI ZAZNZIBAR AMINNNNNNNNNNN.  4. chucky 25/06/2011 kwa 10:52 mu · Jibu
   I dont agree with Sheikh Azzan to use religious or other slurs. But i love his uzalendo..All zanzibaris must unite in fighting against the current status of Zanzibar..  5. Babuji 25/06/2011 kwa 12:27 um · Jibu
   @ chucky
   Video hii iko kwenye lugha ya Kiswahili.Vipi unatoa maoni kwa lugha ya Kiingereza na kuchanganya na neno la Kiswahili ?
   Sisi wasomaji tungeheshimu maoni yako kama ungetoa kwa Kiswahili tu.
   Huenda wewe ni mmoja wa wale waliotajwa na mwandishi wa kale aitwae William Shakespeare aliposema wapo wasomi wapumbavu.  6. Babuji 25/06/2011 kwa 1:56 um · Jibu
   @ mzalendo.net.
   Nawaomba wahusika mtuwekee kwa ukamilifu video hii mpaka mwisho tuzidi kuelimika.
   Mwenyezi Mungu awaongezee elimu kwa juhudi yenu kuundesha mtandao huu.Amin.  7. Hodi 25/06/2011 kwa 2:00 um · Jibu
   Babuji unasema sawa
   tuko kwenye mapambano, masuala ya upumbavu sio pahala pake hapa. Wananchi wanaumia madai yao hayasikilizwi. Suala la kuipeleka Misikitini ndio sahihi hasa ili kuwaamsha na kuwahamasisha wazanzibar wote kuungana. wapi tena wanataka, hii naiunga mkono kwa asilimia 100, wanaoona wazanzibar hawawezi kuundosha uovu kwa mkono wao na wasubiri, ipo siku kwani mawazo haya ya sheikh azan ni akili aliyopewa na Allah Mwenyewe.
   Inshallah Munyezi Mungu tuongeze katika njia sahihi.

  [h=3]Leave a Comment[/h]Bonyeza hapa kughairisha majibu.
  Name (required)
  Email (required)
  Website


  [​IMG][​IMG]

  CAPTCHA Code *
   
 2. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkivunja Muungano wa Tanzania kitakacho fuata ni kugawa Pemba na Unguja. Endeleani tu ni chuki zenu.
   
 3. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huyu yuko Msikitini au Jukwaani?
   
 4. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Duh jamaa anatumia Msikiti kuongelea siasa,na nini maana ya msikiti? Huyu ni wa kumuogopa kama ukoma. Ni kama anawahimiza vijana waendelee kuchoma nyumba za wabara.
   
 5. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ana maana gani anaposema Ardhi ni mali ya Wazanzibar je hakuna Wazanzibar wanaomiliki Adhi Bara?
   
 6. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwamba wale watu kuchoma Mabanda yale wametekeleza agizo la Mtume. Hapa kweli kateleza kidogo huyu Sheikh ina maana Mtume anaagiza kwenye vitabu vyake kuua na kuchomea watu nyumba zao?

  Sheikh Azan kumbuka kuwa Binadamu wote ni sawa.
   
Loading...