Ccm imechaguliwa kwa sera zake endelevu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm imechaguliwa kwa sera zake endelevu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by segwanga, Jun 26, 2011.

 1. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Chama cha mapinduzi kina sera endelevu ndio maana kinazidi endelea kupeta kwenye zama hizi za siasa za ushindani.
  Nianzie karibu ili nisiwachoshe.JK aliingia kwa gia iliyokuwa ikisomeka kuwa ARI MPYA,NGUVU MPYA NA KASI MPYA.Hiyo ilikuwa inalenga si sehemu nyingine zaid ya kuteka akili za watanzania kwa ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya.Kama una kumbukumbu JK alimfunika Ben mpaka watu wakawa wanafikiria kwamba kwa nini jk asingeteuliwa 95.Nakumbuka mzee rukhusa aliwahi kusema vijana wapunguze kasi vinginevyo watawaacha nyuma wazee.Umekuja uchaguzi uliopita JK akaja kitu endelevu cha NGUVU ZAIDI,ARI ZAIDI NA KASI ZAIDI.Matokeo yake hicho kitu yako wazi.
  1.Ushindi ni lazima hata kwa kuchakachua
  2.Bunge lililojipanga zaidi kutetea chama kwa namna yoyote ile ikiwezekana spika awe mwanamama machachari aliyebatizwa kwa jina la chama
  3.Kwa sababu chama kimechafuka(kwa mjibu wa wananchi na wapinzani) basi sio vibaya kujivua gamba lakn si kwa mtazamo wa wananchi.Tutoe makamba na tuweke mtaalam mkama na jembe la kueneza sera Nnauye Jr.Jembe hili damu inachemka litasaidie kuwapigia kelele mafisadi,siku 90 watapotezewa.
  Hicho ndicho chama kikongwe vijana wa JF siku hizi wanakiita chama cha magamba
   
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kimechaguliwa au kimejichagua?
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Unasema ukweli ccm inaongoza kwa uandishi wa sera sasa je, vipi utekelezaji? Don't be a fool again my friend.
   
 4. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Sera yao endelevu zaidi ni ile sera ya UMEME NCHI NZIMA MASAA 24 BILA MGAO.
   
 5. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  PHP:
  [quote="segwanga, post: 2149229"]Chama cha mapinduzi kina sera endelevu ndio maana kinazidi endelea kupeta kwenye zama hizi za siasa za ushindani.
  You're very right. Sera zao endelevu tunaziona. Ndizo hizi za mgao wa umeme 24hrs hadi mwishoni mwa mwaka kama tutakuwa na bahati, vinginevyo hadi 2015!
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mtu akiniita jk haki ya nani najinyonga! Heri kutoishi kuliko kudhalilishwa kwa kulinganishwa nae!
   
 7. h

  hans79 JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  not sera bal u-se-nge endelevu ndo maana mwaliwa hata wazir mmoja so rizik,pumbavu pelekeen ushoga wenu choon
   
 8. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mbona unamumunya maneno toa sema wazi wazi kwa sababu ya sera hzo hzo endelevu Rais mstaafu alisema hz ni zama za UKWELI NA UWAZI,funguka kijana ni sio kutumia jazba
   
 9. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu wenger huwa navutiwa na style yako ya kujibu,iko straight.Ujue kwenye siasa kinachotazamwa huwa ni kufanikiwa kuingia madarakani na watu wakabaki kimya yaani hawafanyi vurugu. Kwa sababu ccm wamefanikiwa kuwepo madarakani kwa kuendeleza hadaa zao kwa wananchi,sera zao zinazidi kufanikiwa yaani ushindi ni lazima na ccm ina wenyewe
   
 10. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwenye siasa huwa hatuangali validity ya sera ila kinachoangaliwa ni reliability.CCM usiwaone kama wamezidiwa hv.Wanajua weaknes za watanzania ni watu wa kupanga mashambulizi na kutumia counter attack.Ngoja nikupe kitu kimoja kukudhihirishia kuwa hawa jamaa wamejipanga vilivyo-katba ya nchi inalalamikiwa kwa nini mambo ambayo yanasababisha katiba iwe mbovu kama suala la muungano na madaraka ya rais hayataguswa? sera zitadumu SERIKALI MBILI NA RAIS MWENYE NGUVU
   
 11. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kila lenye mwanzo lina mwisho.
   
Loading...