Asema kazi ya jamii forum ni kuchafua watu akichangia hotuba ya Waziri Mkuu ,mimi nadhani pia angetoa uwiano wa uelewa wake wa Jamii forum kama vile nani kachafuliwa na kwa nini
anataka tusiwakosoe na bado...Naangalia bunge muda huu JF imesemwa kuwa inawachafua wabunge,kauli hiyo imesewa na Beatrice Shellukindo!Kulikoni?
Sijui ndicho alicho tumwa na wananchi wake..kwanza huyu ni mbunge wa wapi naomba kujua...maana inaelekea jimboni kwake kero zimeisha ndiyo maana kaiona JF ndiyo cha kuzungumzia bunge kama kero ya wana nchi wakeHawana cha kufanya tunawachafua au wanajichafua wenyewe, hivi Mhe. mzima ukakae kujadili JF bungeni kweli bunge la wakati huu vichekesho ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake! Shame on her.
Kuna kitu wanasiasa wameshindwa kuelewaAsema kazi ya jamii forum ni kuchafua watu akichangia hotuba ya Waziri Mkuu ,mimi nadhani pia angetoa uwiano wa uelewa wake wa Jamii forum kama vile nani kachafuliwa na kwa nini