Marufuku kutaja chama ndani ya Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marufuku kutaja chama ndani ya Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oba, Jun 29, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama ingetungwa sheria inayozuia kutajwa chama fulani bungeni au ilani ya chama fulani ningeifurahia sana, Kwa nini?
  Hakuna maslahi ya taifa siku hizi bali maslahi ya chama, mbunge yuko radhi kutetea ujinga na upumbavu bungeni ilmradi unatetea chama au kulinda ilani na maslahi ya chama hicho. Mbunge yuko tayari kuwakaanga wananchi wake na kuwaacha wafe njaa au kuwa omba omba ilmradi chama chake kisalimike; ni nin hii kama siyo usaliti kwa taifa? hivi chama kimekuwa bora kuliko taifa letu?
  Napendekeza; baada ya uchaguzi wabunge wote wawe wabunge wa taifa, ilani ya chama ibaki inanadiwa na serikali tu na siyo wabunge, kuwe na utofauti kati ya bunge na serikali; kama serikali ikijigamba na kudai iko kutimiza ilani ya chama fulani na wabunge nao wakaitetea hiyo hiyo ilani taifa litatetewa na nani?
  Nawasilisha
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Maumivu yakizidi muone daktari...
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  unapopiga kura unachagua mtu au chama?
   
Loading...