Tufanye nini kuiokoa nchi yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufanye nini kuiokoa nchi yetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MzeePunch, Jun 29, 2011.

 1. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wakuu, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi nini kifanyike kubadili mwelekeo wa nchi yetu. Tunashuhudia nchi ikiangamia kwa kukosa huduma muhimu kama umeme na maji, huku maisha yakizidi kuwa magumu zaidi. Watawala tuliowapa dhamana ya kutuongoza hawaonyeshi kuwa serious ku-address matatizo yetu. Kuanzia Rais wa nchi hadi wabunge tunaowasikiliza huko Bungeni hawafanyi jitihada zozote za kuondoa matatizo makubwa yanayolikabili taifa. Ubinafsi umetawala kila mahali huku hali ya maisha ya Watanzania walio wengi ikiendelea kuwa duni kila uchao. Sisi kama wenye nchi tufanye nini sasa?
   
 2. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Andamaneni.
   
Loading...