Viongozi wa CCM kupinga kila hoja ya upinzani nikujionyesha kama wanafanya kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa CCM kupinga kila hoja ya upinzani nikujionyesha kama wanafanya kazi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msingi Hoja, Jun 16, 2011.

 1. M

  Msingi Hoja Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF,ninakerwa sana na Chama cha Mapinduzi kupinga kila hoja ya upinzani hata kama hoja hiyo ni ya msingi na tija kwa taifa.......kila jambo na hasa litokalo kwa CHADEMA basi watalivalia njuga na mara nyingine hoja ikiwa ni nzuri kwa taifa hudiriki kusema wao (CCM) ndilo walioiibua na si upinzani. Wakubali tu kuna hoja zitokazo upinzani zina mashiko
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hi great thinkers,let rethink on this issue.its normal for MPs from CCM when they contribute on the budget they used to say i support the budget 100%to my views if your support 100% thats means nothing to add nor to deduct; things which are not possible unless they have preperad together.My opinion, if the MP say he/she support the budget 100% he /she should not given chance to contribute because no new input is expected from him/her and that opportunity should be given to other MPs who dont support the budget 100% because new idears can be expected from them hence can improve the budget. I submitt
   
 3. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijui imeishia darasa la ngapi, au mwalimu wako leo hii akiona utumbo huu utamwambia nini.kuunga mkono hoja ni kukubaliana na wazo lililopo mbele yako.bado unaweza kuboresha wazo hilo.mfano wazo linaweza ku utilize kwa 90% wewe ukaliunga mkono kwa asilimia 100% na kuongeza au kuliboresha zaidi na hivyo wazo hilo lika utilize kwa 100% rudi darasani.
   
 4. i

  iMind JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Juzi nilipata muda kidogo wa kuangalia bunge. Baadae nilijikuta nikijilaumu kwa nini nimepoteza muda kuangalia. kwanza wabunge wengi wa ccm huongea mambo kiujumla jumla bila hata kufanya reference kwenye bajeti na bila kutoa alternative solution
  Kwa ujumla inaonekana aidha hawajaisoma bajeti au hawaielewi. Ndo maana wanakimbilia kuunga mkono bajeti kwa 100%
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Jama pale ni kijiweni tuuuuu......na wadau wa kijiwe kile ni WABUNGE WA CCM.....HASA VITI MAALUM, NA WALIOINGIA KWA RUSHWA.....SEMA TOFAUT YA KIJIWE KILE NA VIJIWE VINGINE NI POSHO.......
   
 6. M

  MCHARA Senior Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wewe ndo huna akili au hujui hesabu! Huwez kusupport 100% hafu ukaongeza kwan umeikubali kama ilivyo kwa maelezo zaidi nitafte nkufundishe maana ya %!
   
 7. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,458
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Imekuwa ni tabia baadhi ya walalamikaji kuunga mkono hoja 100% lakini wasielewe wameunga nini. iIa wanajua wamekataa nini. Matokeo yake uendelea kulalamika hata katika vikao vifuatavyo kwa maswala yale yale na kuunga hoja kwa 100%. Kwani ni lazima kuzitaja asili 100% wakati umekataa kwa asili 80%? Labda mlalamikaji hu kubali kutokubali kwa 100%!!!
   
 8. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kama unaunga mkono maana yake ni yes. Hamna yes ya 50% . Huna haja ya kusema 100p% otherwise it has to go with 'but!'
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kama nimeelewa vizuri ukienda kwenye principles of logic ipo moja inasema "if one of the premises is negative, the conclusion must be negative"

  Hawa jamaa wa ccm huwa wanaanza na "naunga mkono hoja" halafu huko ndani anapinga, upuuzi mtupu!
   
 10. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mwalimu wako alikufundisha mambo ya percentage mkuu? Ukisupport something 100% meaning it is ok the way it is. Ukishaongezea au kupunguza ina maana haukubaliani nayo kwa asilimia 100. Mbona mambo madogo yana wawia wengine vigumu kuelewa?
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kama nimeelewa vizuri ukienda kwenye principles of logic ipo moja inasema "if one of the premises is negative, the conclusion must be negative"

  Hawa jamaa wa ccm huwa wanaanza na "naunga mkono hoja" halafu huko ndani anapinga, upuuzi mtupu!
   
 12. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Asante mkubwa nimekuelewa, ila sina uhakika kama wewe na mimi nani hajui.
   
 13. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Bunge letu ni bunge la kubariki madudu ya serikali, hawana muda wa kufikiri kwa undani na kuleta changamoto kwa serikali. Ingefaa mawaziri wafike mahali wasijue kama bajeti zao zitapita au la. Hivi sasa mawaziri wote hawana hofu bajeti zao zitapita tu tena kwa 100%. Wabunge jueni wajibu wenu tafadhali.
   
 14. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tatizo wanapitisha maamuzi kichama zaidi badala ya kupima umuhimu wa kile wanachoamua au wanachounga mkono kwa taifa.
   
 15. K

  KISUNGURA Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa jinsi mambo yanavyoendelea bungeni nashindwa kuelewa hawa wabunge wa CCM wanatetea maslai ya chama, wananchi waliowatuma au serikali iliyojaa ruswa na ufisadi? Ni jambo la kusikitisha unaposikia mbunge wa CCM anapinga hoja ya msingi kwa sababu imetolewa na upinzani! Hii inadhiirisha ambavyo CCM na serikali yake kwamba haipo tayari kuwapunguzia Watanzania makali ya maisha ila ni kuangalia maslai yao na vizazi vyao! Mimi nadhani hawa wabunge wa CCM hawana dini na hawajui kama kuna mungu, kwani binadamu hasiyemtakia mwenzie mema huyo hafai kwenye jamii. Kwa mtu mwenye upeo, wabunge wa upinzani licha ya kujiongezea umaharufu kwa hoja zao LAKINI ki msingi zina maana na manufaa kwa taifa letu hata hao wanaopinga ni utashi tu wa usoni ili waonekane na wenzao kama si wasaliti lakini imani zao zinawasuta!
  RAI yangu kwa wabunge wa CCM ni kwamba, wasifiri watanzania wa leo ni sawa na wadanganyika wa mwaka 47 enzi za Nyerere wakati TV na Redio kaseti vilikwepo ikulu tu! wao wapo uwanjani wanacheza sisi tupo nje tunaangalia yupi ni mchezaji mzuri na yupi si mzuri hasiyetufaa! 2015 si mbali kama wafikiriavyo, ndugu zangu wapenda maendeleo tuwaunge mkono wabunge wetu wa upinzani ambao wameonyesha nia yao ya dhati ya kutupigania LAKINI uchache wao ndio unawwangusha na hii ndiyo changamoto kwetu ili 2015 nguvu zetu zielekezwe kwao ili kupunguza nguvu au hata kuwaondoa hawa wadahalimu wa CCM
   
 16. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nawashangaa wabunge wote wa CCM kwa uungaji wao mkono hoja aslimia 100, Baada ya kuunga mkono hufuata malalamiko.

  100% maana yake ni hakuna dosari. sasa malalamiko ya nini? nawashangaa sana.

  Wakati mwingine wanawaponda wabunge wa upinzani lakini wakipewa nafasi wanalalamika kama watoto wadogo.

  Hivi ukiwa CCM ni kwamba akili inakuwa likizo?
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Akili zinakuwa za kushikiwa.
   
 18. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CCM badilikeni la sivyo mtakuja kuishangaa historia mtakayoiweka.
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  .......................Ni njia ya kudhihirisha ufinyu wa mawazo ya viongozi wa CCM...haiwezekani ulalamike kuwa hakuna umeme,maji,barabara na nk..halafu useme unaunga mkono hoja kwa 100%..Hii inamaana unaunga mkono upungufu wa hiyo hoja.............
   
 20. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfano leo jioni Mbunge wa Mwibala CCM alikuwa analalamikia serikali kupitisha sheria ya wawekezaji mpango wa EPZ kupewa ardhi na kutolipa kodi kwa 10 yrs, lakini ni wao ndio waliopitisha kwa ndio kubwa wiki iliyopita tu pamoja na Mnyika kuwaelimisha sana madhara yake. Hawa watu ni zero kabisa.
   
Loading...