Ukomunisti ni unyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukomunisti ni unyama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tango73, Jun 27, 2011.

 1. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Kweli ukomunisti ni unyama. Siasa za kuimba kwaya , kucheza gwaride na kubeba juu picha za viongozi barabarani zilikuwa hazina maana yeyote bali ni utumwa tuu. Nchi za ulaya mashariki zilikuwa na mwezi mzima wa octoba kila mwaka kuimba kwaya za kuwasifisia viongozi walio madarakani na wale waliokufa! Pesa za kodi hazitumiki kujenga nchi bali kuimarisha chama! Ukifika Urrusi, viongozi wote wa kikomusti walikuwa na mashea makubwa katika makampuni makubwa ya ulaya magharibi na watoto wao walikuwa wanatanua sana na mabenz, BMW na ferrari lakini ukija nchini mwao wao hao hao wanawarubuni wananchi kuchukia ubepari! Kweli aliyeuwa ukomunisti hana dhambi kwa mungu!!!!
   
 2. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kweli ukomunist ni ukatili nakubaliana na wewe mia kwa mia.Manake mkomunist mnaweza mkabishana kwa hoja kama ifuatayo.

  Tunataka Paka alambe mikono yake tufanyeje Paka huyo alambe mikono yake.

  Asiyemkomunist anaibuka na Theory ya kuwa paka huyo apewe maziwa japo kidogo atayanywa akimaliza atalamba mikono yake ukiliangalia kwa umakini sana tendo hilo kwa ufahamu mdogo kweli paka huyo anaweza kuonekana ni vigumu akaweza kulamba mikono yake,lakini hapa itakupa changamoto nyingi sana ili uweze kuangalia picha hiyo, hivyo basi utafanya utafiti wa mambo mengi sana ikiwemo chombo cha aina gani utakachomuwekea ili aweze kutenda tendo hilo kwa hiari yake.

  Kwa Mkomunist anaibuka na theory simple na clear kwake Paka apakwe pilipili kwenye unyayo wa miguu yake atalamba tu mikono yake.Ni kweli paka akishapakwa pilipili atawashwa na hiyo Pilipilina hivyo atapeleka mdomoni kwake kuondoa muwasho huo kumbe ndio anajiongezea maumivu na hivyo kuongeza zaidi kujilamba kwa nia ya kuondoa maumivu hayo, lakini hakulamba kwa hiari bali ni kwa lazima na mateso yasiyo na mfano.Huyo ndio mkomunist na theory zake zinazotumika kuendeshea baadhi ya Maisha ya Mwanadamu hapa duniani,na imani yao kwa mungu haipo na kama ipo basi ni haba.

  Tanzania haijapata kuwa Taifa la Kikomunist,na hakika alitatokea kuwa Taifa la kikomunist,Ila kuna watanzania na baadhi ni watawala wamesoma nchi za wakomunist.Na hapa rejea kwenye wale waliosoma siasa ya jamii na falsafa ya kikomunist matendo yao si ya kawaida ubinadamu unanafasi ndogo sana ndani ya mioyo yao.

  Mungu saidia mataifa hayo yamekosa uhalali wa kutawala dunia kisiasa,na kwa kuwa moja ya sifa kubwa ya mataifa hayo ni kutotambua uwepo wa Mungu [God, Allah or Yehova],na mungu kayanyima na anaendelea kuyanyima japo yanajikakamua baadhi kutaka kujiweka juu lakini jamii nyingi duniani haziwakubali.
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,743
  Likes Received: 6,018
  Trophy Points: 280
  I agree 100% although, you are too narrow, sio ukoministi peke yake. Utawala wowote usioheshimu matakwa ya wananchi haufai. Matakwa ya wananchi si tu kutoa hudma za kawaida za kimaisha kama malazi, afya, n.k. lakini zaidi ni "USHIRIKI WA WANANCHI KATIKA UTAWALA WA TAIFA LAO" kwa uhuru na haki bila ghiliba yoyote.

  Mifano: Utawala wa Gaddafi uliweza kutoa huduma bora kwa watu wake lakini ushiriki wa wananchi ulikuwa haupo. Tawala nyingine zinazoangukia kwenye kundi hili ni tawala kongwe za kifalme na za kidini za Mashariki ya Kati; ndio maana leo tunashuhudia yanayoendelea huko. Tawala nyingine mbovu, tofauti na ukomunisti, kuwahi kutokea ni utawala wa Makaburu wa Afrika Kusini, Marekani enzi za ubaguzi wa rangi, tawala mabalimbali za kikoloni, n.k.
   
 4. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Dudus sawa lakini mwanzilishi wa mada husika kasema ukomunist ndio maana nami nikaishia hapo sikuwa na sababu ya mimi kufanya lufundi kwenda nje ya wigo wa mada husika.

  Next time anzisha mada tutachangia kulingana na wigo wako husika, uko sawa bali uelevu ni kujua mipaka.
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakuna tofauti kubwa na mifumo mingine. In fact unachozungumzia wewe ni matumizi mabaya ya madaraka ambayo huwa yapo hata katika mfumo wa kibepari.
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwaiyo ubeberu ni sawa?
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  mfumo gani basi mwingne mzuri zaidi ambao si wa kinyonyaji?

  if u ask me..at least ukomunist.

  cz mifumo yote ya kiutawla ina matatizo yake...so u cant punch into communist na kusema ni mbaya kiasi icho...othwise ur too narrrrrrrrrrrrrrrrow into......kasome theory zooooooooooooooooote kwa makin na angalia changamoto zake then urud tena ....M WAITNG
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  AYO NI MAPUNGUFU YA VIONGOZI NA SIO MAPUNGUFU YA THEORY nzima ya communism..
  theor ip bas ambao akuna viongozi wake hawana mapungufu?

  kukosea kwa padre aimaanish ukristu auna maana
  kukosea kwa shehe aimaanish uislam aufai


  nawasilisha
   
 9. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Tizama mataifa yote yanayotumia mfumo wa ukomunist,yanaendeshaje maisha ya watu wake?.Tutajie mataifa yanayotumia mfumo huo, huyo mdau anaetetea ukomunist, manake kalibia dunia nzima inakaribia kusahau mfumo huo japo yapo mataifa machache ambayo yanafikilia uwenda mambo yakabadilika wakaludi kutawala dunia.

  Mfumo kandamizi wa watu wachachee kuamini wao pekee [Erite] ndio wenye dhamana na hatima ya maisha ya wengi.Siwezi kujadili mifumo mingine kwa kuwa thread ni Ukomunist ni Unyama.
   
 10. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  nadhani kuna mifumo mingi hivyo kuamua tu kwamba ukomunist ni unyama bila kutujuza hiyo mifumo mingine nadhani si haki............vipi kama hiyo mifumo mingine ikiwa ni unyama zaidi????
   
 11. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Every human being is mad we differ in degree of madness,vivyo hivyo kwenye mifumo ya maisha ya binadamu,kuna mifumo inaaueni katika kugandamiza haki za raia lakini kwa ukomunisti, ubabe ndio gear ya kuendeshea Nchi. Wanatumia zaidi theory za mienendo ya maisha ya wanyama kutengeneza mfumo wa kuendesha maisha.Wanaweza kutumia mpangilio na mfumo wanaotumia siafu kubuni mpango wa kuendesha maisha, na wakalazimisha bila kujali kuwa hawa ni biinadamu wenye utashi na matakwa mbalimbali.

  Wanaweza kutumia kutoa maumivu kwa binadamu [Punda bila mjeledi,mzigo haufiki] kuhakikisha kuwa jambo fulani ambalo linaitajika lifanyike, lifanywe kwa gharama yoyote.
   
 12. ismathew

  ismathew JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukomunisti si jambo la kulijadili kwani ni unyama na ukandamizaji wa haki za binaadam. Ni jambo la kuliondoa katika fikra zetu
  na wala lisirudie tena. Nyerere alichagua siasa hiyo kwa uchu wa madaraka na kuwakandamiza wazalendo.
   
 13. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mwalimu hakupata kuwa Mkomunist mwalimu alikuwa ni Msocialist.Ukomunist na Usocialist ni itikadi mbili tofauti bro.Tena usocilaist wa Mwalimu ulikuwa wa kiafrika zaidi.Mimi naukubali usocialsit siukubali ukomunist nauchukia sana.Ukonist ugeuza mwanadamu mwingine kuwa mashine ya kutendea kazi,pasipo kujali utu wake,imani yake na utashi wake kama bnadamu aliye hai.
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
   
 15. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Unasifia mfumo usiofanya kazi in reality?
   
 16. a

  allydou JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Communism is a sociopolitical movement that aims for a classless and stateless society structured upon common ownership of the means of production, free access to articles of consumption, and the end of wage labour and private property in the means of production and real estate

  Socialism is an economic system in which the means of production are publicly or commonly owned and controlled co-operatively, or a political philosophy advocating such a system


  UTOFAUTI WAKE UNACHANGANYA KIDOGO, NI KAMA ZIKO SAWA HIVI, DSN HEBU TUFAFANULIE ZAIDI, INAONEKENA UPO VIZURI KIDOGO KWENYE IDARA HII.
   
 17. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Communism ni the next extreme beyond socialism katika spectrum ya hizo sociopolitical movements. Communism inaangalia mambo ya class zaidi, na hiyo utopia ya kuwa stateless (which is impossible). Socialism ya Nyerere ni ownership of factors of production. Ndio maana alitaifisha vitu. Lakini in a sense ni stage ya kufikia communism ambayo kusema kweli hakuna nchi iliyoweza kufika huko. Zote zimeishia katika hiyo socialism state.
   
 18. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145

  A
  Political Party described as a Communist party includes those that advocate the application of the social principles of Communism through a communist form of the Government. The name originates from the 1848 tract Manifesto of the Community Party by Karl Marx andFriedrich Engels

  A Communist party is, at least according to Leninist theory, thevanguard party of the working people whether ruling or non-ruling, but when such a party is in powe ina a specific country the party is said to be the highest authority of thedictatorship of the proletariat Lenin's theories on the role of a communist party were developed as the early 20th-centuryRussian social democracy divided intoBolshevik (meaning "majority") and
  Menshevik (meaning "minority") factions.

  Vladimir Lenin leader of the Bolsheviks argued that a revolutionary party should be a small vanguard party with a centralized political command and a strict cadre policy; the Menshevik faction, however, argued that the party should be a broad-based mass movement. The Bolshevik party, which eventually became the Communist Party of the Soviet Union, took power in Russia after the October Revolution in 1917.

  With the creation of the
  Communist International, the Leninist concept of party building was copied by emerging communist parties worldwide.

  There currently exist hundreds of communist parties throughout the world. Their success rates vary widely: some are growing; others are in decline. In three countries, Republic of Cuba; People Republic of China; and Social Republic of Vietnam, communist parties retain dominance over the state.

  The Chinese Communist Party is the world's largest political party, claiming nearly 78 million members at the end of 2009 which constitutes about 5.6% of the total population of mainland China.

  Waasisi wa ucommunist Ndugu Allydou ni watafiti wa kisayansi hawa wawili Marx na Engels. Engels alianza miaka ya 1873 akitokea Manchester kwenda London, tamaa ya kisayansi ya Marx na Engels kutafuta majibu ya kisayansi ndio mwanzo na kuibuka kwa tafiti nyingi kuhusu sayansi asilia na maisha ya wanadamu.
  " To create an intergral world outlook,the founders of Marxism did not limit themeselves to critical revisionof the earlier achievements of philosophy,political economy , and economy ,and socialist and communist doctrines.

  They had to generilise the main achievements of contemporary natural science if materialism was to be given anew ,dialectical form.
  "Marx and I" wrote Engels in his "Preface" to the second edition of Ant-Duhring, "were pretty well only people to rescue conscious dialectics from Germany idealist philosophy and apply it in the materialist conception of nature and history.

  Hao ndio wanasayansi wanaotumia sayansi kuendesha mfumo wa maamuzi ya kisayansi kuamua watu waishi vipi.  Socialism au kwa lugha ya kimataifa unatambulika kama ifuatavyo hapo chini.

  Socialism is an economic system in which the means of production are publicly or commonly owned and controlled co-operatively, or a political philosophy advocating such a system. As a form of social organization, socialism is based on co-operative social relations and self-management; relatively equal power-relations and the reduction or elimination of hierarchy in the management of economic and political affairs.

  Socialist economies are based upon production for use and the direct allocation of economic inputs to satisfy economic demands and human needs [use value]; accounting is based on physical quantities of resources, some physical magnitude, or a direct measure of labor-time. Goods and services for consumption are distributed through markets, and distribution of income is based on the principle of individual merit/individual contribution.

  As a political movement, socialism includes a diverse array of political philosophies, ranging from reformism to revolutionary socialism. State socialist currents of socialism advocate for the nationalism of the means of production, distribution and exchange as a strategy for implementing socialism; while social democrats advocate public control of capital within the framework of a market economy. Libertarian socialist and anarchists reject using the state to build socialism, arguing that socialism will, and must, either arise spontaneously or be built from the bottom up utilizing the strategy of dual power. They promote direct worker-ownership of the means of production alternatively through independent syndicates, workplace democracy, or worker cooperatives.


  Socialism ya Lugha ya Mwalimu yaani Ujamaa ni

  Socilism like democracy is an attitude of mind. In a sociliast society it is the socialist attitude of mind,and not the rigid adhrence to a standard political pattern,which is needed to ensure that the people care for each other's welfare.Therefore 1962 TANU was officially commited to the building of a socialist society.

  In one of his speach Mwalimu addressed more about socailism by saying

  "I have said that a millionare can be a good socialist.But a socailist Milionare is a rare phenomenon.Indeed he is almost a contradiction in terms. The appearance of millionares in any society is no proof of its affluence;they can be produced by very poor countries like Tanganyika just as well as by rich countries like the United Stes of America. For it is not efficiency of production, nor the amount of wealth in country,which make millinares;it is the uneven distribution of what proudced.The basic difference between a socialist society and capitalist society does not lie in their methods of producing wealth,but in the way that wealth is distributed........Africadid niot infact produce millionares-for we certainly had enough wealth to create a few.I think they would discover that it was because the organization of traditional african Society -its distribution of wealth it produced-was such there was hardly any room for parasitism...In traditional African society everybody was a worker...But it must be shared. The true socialist may /must not exploit his fellows.''

  'Binadamu wote ni ndugu zangu, na Afrika ni moja
  'If this had been originally put in English, It could have been "I believe in Human brotherhood and unity of Afrika.
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  sasa tatizo ni lanan?
  theory ipo poa ni watu wanashindwa kuimplmnt ayo yaliyomo kwenye theory...
  wat i need here ..mtu anambie kiongozi gana anatenmda haki/nchi gan ipo sawasawa na theory ipi wanatumia?

  tatizo ni bnadamu wanadivelge from its principle bt bnadamu km wangeweza kutimiza yaliyomo mnamo communism basi mambo yangekuwa safi


  kansan ni shemu ya ibada lakin utakuta watu wanafanya dhiahaka/uchafu wao ndani ya kansani je utakuja na kusema kanisa ni sehemu ya maovu?
   
 20. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  theory ipo poa wapi kama haiwezi kufanya kazi? Ni sawa na mtu achore gari linalotembea kwa hewa ambalo hawezi kutengeneza in reality. Inabaki picha nzuri tu. Communism haiwezi kufanya kazi kwa sababu inapingana na basic principles of humanity.
  Pia sioni jinsi gani mfano wako wa kanisani unaendana na hapa. Kuna mtu amesema kuwa kanisani hakuna dhambi?
   
Loading...