Vigogo wa Manispaa ya Ilala, akiwamo aliyekua Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala,kupitia CCM, Mohamed Yakubu, wanapandishwa kizimbani kwa rushwa wakati wowote asubuhi hii katika Mahakama ya Wilaya ya...
HATMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA) aliyelituhumu Baraza la Mawaziri kushawishiwa kubadili msimamo wa kubariki azimio la kuongeza muda wa uhai kwa Shirika Hodhi la Mali za...
Pua ndefu kama Pinocchio ni ishara ya uongo uliopindukia. Tumeshuhudia mambo mengi ya kisanii yakiendelea hasa katika ulingo wa siasa za Chama Cha Mapua-ndizi. Yameongelewa mengi na viongozi wa...
Jamani wanaJF kwa kweli CDM inawafanya CCM hawalali siku hizi. Mi nawalinganisha CDM kama mtu aliyeshika remort ya TV ambayo ukiiambia zima unaissue comand na inazima. TV hapa ni CCM maana wao...
Kwasababu mwenge wa uhuru ndio kitu kikubwa kutupumbaza Watanzania na kuendeleza vikra za magamba, mwenge wa olimpiki= ukoloni mamboleo na tamasha la FIESTA ; kupinga unyonyaji wa clauz fm dhidi...
THE 'SILVERDALE FARM' CASE
This is the statement of British investors Stewart Middleton and Sarah Hermitage, driven from Tanzania by violence, abuse and intimidation instigated by Benjamin Mengi...
Kama sikosei katika lile gazeti la THIS DAY mwaka juzi waliandika kwamba uamuzi wa kuuza nyumba za Serikali umeitia hasara Serikali za shilingi bilioni 200 and counting kutokana na gharama kubwa...
Though the action was scarcely as spectacular as the daring rescue of 101 skyjack hostages from Uganda's Entebbe Airport, Israel last week won another round on hostile territory against air...
Hatimaye CCM imefika mwisho baada ya kuchukiwa na watu wa kada zote kufuatia tatizo kubwa la umeme linaloikabili nchi. Watu wa rika, kada, kabila na dini zote hivi sasa wanajuta kuipa kura CCM na...
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape...
hatuhitaji kusifia vyombo na taasisi za serikari zinazofanya kazi kwa mashinikizo, bali si kwa mazingira halisi.
Tunahitaji maelezo ya kina kuhusu richmond, epa na zingine.
Kumekuwa na mwenge wa uhuru unaokimbizwa mikoa yote ,kuzindua miradi mbalimbali ambayo mwishoni ni mibovu,ubadhirifu na ufujaji wa mali ya umma imegundulika ndani ya miradi hiyo mfano shule,visima...
Je utaratibu huu wa mbunge kabla ya kutoa mchango wake anakuwa na orodha ndefu ya watu wa kuwapa shukrani, nashukuru mtoto wangu mdogo, nashukuru bla bla.
Je haya ndiyo mambo wananchi wanahitaji...
Naamin una watumishi wengi wa umma hawapendi mambo fulani yanavyokwenda au yanavyopelekeshwa. lakini tatizo linakuja ushirikishwaji wa fanyakazi nao ni finyu. Serikali inajiweka kwenye Risk kubwa...
Ni zaidi ya wiki mbili sasa tangu mwafaka wa arusha upitishwe na madiwani wa chadema na ccm,Diwani wa Levolosi kamanda Nanyaro amejipambanua kuwa mzalendo,na mpigania haki wa ukweli,kwa kupingana...
ccm na selikali yake wachukuwa maamzi magum mgawo umeme unawaka masa2 giza masa22 kasi mpya kufa hatufi chamoto tutakiona hadi 2015 watalegeza mgao tukiwapa kula mambo yanaendelea kama kawaida yao
Huwa nashangazwa na viongozi wetu, wanapokuwa madarakani hawaoni hali mbaya ya wananchi. Lakini wanapoastaafu wanaanza kugundua kuwa hali ya wananchi ni mbaya, rejea kauli ya Lowassa, Mkapa...
Nakumbuka wakati wa May Mosi, JK aliahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi katika mwaka huu wa fedha. Wakati huo huo tayari waziri wa elimu naye alishaahidi kuongeza pesa za mikopo kwa wanafunzi...
Taarifa ya serikali kuwalipa fidia wafugaji wa Longido, Monduli, na maeneo mengine ya mkoa wa Manyara ni kielelezo kingine kuwa uchaguzi ulitakiwa ufanyike tena mwakani, ili tupate serikali...
Hivi jamani embu tuulizane kwa kirefu kuhusu mafirst lady wa mapresident wetu huku Afrika, hivi kweli wanajua wajibu wao? wanatekeleza au ndiyo kazi kuwapigia kampeni waume zao tu? tena nasikia...