Hakuna ubishi kuwa mapambano ya Nape yamezima nguvu ya soda ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna ubishi kuwa mapambano ya Nape yamezima nguvu ya soda ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipanga mlakuku, Jul 3, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.

  Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?

  Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye!
   
 2. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Oooh..... huoni wameanza kuraruana hadharani eeh, unafikiri alichokuwa anaongea pinda juzi ni yeye au ni kuzidiwa na kukosa uwezo wa kufanya uchambuzi sahihi nini kisemwe na kisemwe wapi na nani akiseme.
   
 3. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  .

  Nani asiye wajua nyinyi ni wapambe wa nape, kuzima ngumu ya soda ya cdm ni mpaka maisha bora yatakapo patikana kwa wtz. umeme tu umewashinda unabaki kumbwela mbwela tu bila mpango. Magambazi hamna hojaaaaaaaaaaaaaa
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Hana uwezo huo, anazunguka mikoani kujitengenezea posho ili naye apate chake basi!
   
 5. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Habari ya mchana NAPE hapo lumumba kwema, anyway kuna watanzania wanakufa muhimbili kwa kukosa huduma tembelea na huko ukapige porojo.
  kwa kabli tunavyokufa ndio na NAPE unapata neema hapo lumumba
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  ni wewe ms au umeandikiwa..
   
 7. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante ndgu,asante sababu umeongea ukwel wakatae au wakubal ukwel uko palepale nguvu ya cdm ilikuwa km ya gesi ikitikiswa inaisha na mtikisaj ndo huyo kapatakana nguvu imepungua na muda ikifika itaisha kabisa
   
 8. K

  Kaseko Senior Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  si kweli, umekosa kazi ww
   
 9. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyu nape si akemee na mgao wa umeme kama ameweza kuzima maandamano ya chadema.
   
 10. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni kweli kipanga, nepi amefanya mengi. Ameweza kuwafukuza mapacha watatu ndani ya ccm na sasa hawana vyama. Mikutano yake mingi haijai watoto wa shule. Kila anapotembelea hawasafirishi watu kwa malori ili wahudhurie mikutano yake. Halafu kikubwa kabisa alichokifanya ni kuisimamia serikali na kuishinika kutatua tatizo la umeme, sasa tatizo hilo limebaki ni historia tu na umeme unawaka masaa 24 kwa wiki kwa mwezi. Halafu amewashawishi wabunge wa chama chake wazikatae posho na sasa wabunge wote hawapewi posho.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kweli upumbavu hauna ujazo
   
 12. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa, asiyeona hana masikio.
   
 13. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duh! Nappy kiboko kwa kweli.
   
 14. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  nape ni fisadi....mwiziiiii......
  siku zako tunahesabu..........
   
 15. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  acheni kujidanganya enyi chama cha magamba............
   
 16. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Malaria Sugu kwani huwaamini magamba siku hizi?
   
 17. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Haaaa haaaa! Umegonga kwenyewe ndugu!
   
 18. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Haaaaa haaaa! Ame-take advantage ya Vikao vya Bunge! Alitegemea Wabunge wa CDM waache Vikao vya Bunge waendelee na maandamano?
   
 19. mwanaharakati m

  mwanaharakati m Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Acha kudanganya watu wewe MW-NG-MA-G- ......Njaa zitakuua, utakaa kusifia mafisadi
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  magamba na ndoto za mchana mxiiiiiiiiiiiiiii
   
Loading...