Mwaka huu wa Fedha utaisha salama kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka huu wa Fedha utaisha salama kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MtamaMchungu, Jul 4, 2011.

 1. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka wakati wa May Mosi, JK aliahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi katika mwaka huu wa fedha. Wakati huo huo tayari waziri wa elimu naye alishaahidi kuongeza pesa za mikopo kwa wanafunzi.

  Bajeti yetu ya mwaka huu kwa kiasi imeakisi mambo haya, bajeti imepanda kwa kutoka trl 11 mpaka trl 13. Mpaka sasa sina hakika kama ongezeko hili litahusisha na mishahara ya wafanyakazi inayondena na hali halisi ya gharama za maisha.

  Pia serikali ilitangaza kuwa mamlaka ya mapato (TRA) haikuweza kufikia lengo la kukusanya mapato. Walipanga kukusanya trl 6 lakini walikusanya trl 4 (you can correct if am wrong). Moja kati ya mambo yaliyochangia upungufu huu ni MGAWO WA UMEME. Mpaka ikasemekana kwamba serikali ilikuwa inakopa kulipa wafanyakazi wake. This is where things get interesting.

  Kwa kiasi kikubwa umeme wetu unafuliwa kwenye mabwawa ya maji. Msimu wa masika umeisha na watawala wanalalama maji hayatoshi! Na bado wanataka tuamini kuwa mwaka huu utakuwa better kuliko mwaka jana. Nashindwa kuoanisha mambo haya, hakuna anaefahamu(even the govt) mgawo utaisha lini hivyo hatuna hata uhakika wa mapato yetu. Lakini tumeongeza matumizi na ahadi kemkem, nabaki kujiuliza huu mwaka utaisha salama?
   
 2. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utaisha salama kwa kuwa jua litawaka usiku ili kufidia umeme.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada tambua kwamba bajet ni ileile,japo ni tr 13 lakini yakilipwa madeni inabaki trln 11
   
 4. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Thanx for the information, hofu yangu ni kwamba hata hapo kwa mwaka jana tutafika kweli? Mwaka ndo unaanza na hali ishakuwa mbaya. Mida kama hii utasikia wanafungulia maji kwenye mabwawa yetu. From the look of it, things are even worse than last year, yet there are more promises than ever! Everyone has had a promise of some kind, tutafika kweli?
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mambo yatakuwa tyt sana,hasa kupanda kwa bei ya mafuta ya taa na ukosefu wa power saplai
   
 6. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Nadhani walopandisha bei ya mafuta ya taa walikuwa wamelewa,eti kuepuka uchakachuaji?? How many people use kerosene? Mijitu mingne bwana! Ama kweli siku ya kufa nyani miguu yote inateleza,CCM kila inakoshika ni kaa la moto...mtaanguka 2015 kwa kupandisha bei ya mafuta.mmesahau kuwa mtaji wenu ni umaskini wa watz ambao wengi wao wako kijiji ambako hakuna umeme instead wanatumia mafuta ya taa..HIVI NANI MSHAURI WENU? You got tht sh..t fired!
   
 7. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Muda mwingine naona yote haya yanatokana na uongozi dhaifu. Wanapenda kusema YES tu hata kama ni sehemu ya kusema NO, nilisoma gazeti la mwanachi kabla bajeti hazijaanza kusomwa (wakati wa preliminary budgets) analalamikia bajeti ya Magufuli kuwa imezidi, hata hajui hizo pesa atatoa wapi!
   
Loading...