Selikali ya ccm yachukuwa maamzi magum

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
ccm na selikali yake wachukuwa maamzi magum mgawo umeme unawaka masa2 giza masa22 kasi mpya kufa hatufi chamoto tutakiona hadi 2015 watalegeza mgao tukiwapa kula mambo yanaendelea kama kawaida yao
 
Serikali ya CCM ingependa sana kufanya MAAMUZI MAGUMU Lakini hakuna PRESSURE YOYOTE KUTOKA KWA WENYE UFAHAMU AU WANAOGUSWA NA MATATIZO HAYO. Tungoje kidogo labda wanaweza kuamua kwa hiari yao wenyewe kufanya maamuzi magumu ya kutangaza kuachia madaraka yote kwa CUF badala ya ndoa waliyonayo. Ili Maalim Sefu awe rais wa Mungano na Shein abaki Zanzibar.
 
walafi hawa hawawezi udiwani wapo radhi kupoteza roho za watanzania kuliko kiti chaudiwani au uwenyekiti wa mtaa iwe ulaisi
 
Serikali ya CCM ingependa sana kufanya MAAMUZI MAGUMU Lakini hakuna PRESSURE YOYOTE KUTOKA KWA WENYE UFAHAMU AU WANAOGUSWA NA MATATIZO HAYO. Tungoje kidogo labda wanaweza kuamua kwa hiari yao wenyewe kufanya maamuzi magumu ya kutangaza kuachia madaraka yote kwa CUF badala ya ndoa waliyonayo. Ili Maalim Sefu awe rais wa Mungano na Shein abaki Zanzibar.
Sipati picha Seif kuwa Rais wa Tanzania!
 
Back
Top Bottom