CCM sasa ni kama Dereva wa Basi la abiria aliyeacha usukani wake na kuanza kubishana na abiria wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM sasa ni kama Dereva wa Basi la abiria aliyeacha usukani wake na kuanza kubishana na abiria wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yutong, Jul 5, 2011.

 1. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani wanaJF kwa kweli CDM inawafanya CCM hawalali siku hizi. Mi nawalinganisha CDM kama mtu aliyeshika remort ya TV ambayo ukiiambia zima unaissue comand na inazima. TV hapa ni CCM maana wao sasa wanaonekana they cannot control themselves.

  Mbaya zaidi ni kwamba sasa CCM inaonekana kama dereva wa basi la abiria ambaye ameacha usukani wake na kuangalia barabara sasa amewageukia abiria na kuanza kubishana nao. Kinachofuatia hapa ni ajaali mbaya kabisa. Hivyo CCM wameacha wajibu wao wa kuongoza nchi na kuwaletea watz maendeleo sasa juhudi zao ni kwuimaliza CDM, kinachofuata hapo ni kuanguka kabisa kwa CCM. Hususani tunaona kuna kero nyingi sana sasahivi kama ya umeme, maji nk. Mi ningewashauri CCM kuwa kujisafisha kwao kusiwe kutaka kuiangamiza CDM bali wapambane na kero za wananchi (recovery process) na ndipo hapo watakuwa wamejisafisha. Kinyume na hapo wasitegemee mabadiliko zaidi. Tunategemea 2015 watuambie hakuna tatizo la maji kadhalika umeme. Nyie vibaraka mliotumwa na wanamagamba wa CCM muende mkawaambie waje wajibu hoja wao wenyewe na si vinginevyo.
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Ukweli haupendwi hata siku moja utaambiwa unahatarisha amani na utulivu. Lakini bado natafakari hili basi ambalo dereva wake ameacha majukumu yake anabishana na abiria tuombe kuwa hatuko sehemu zenye milima au mabonde makubwa kwani ajali yake ni mbaya sana. Mungu ibariki Tanzania!
   
Loading...