Tatizo la umeme na hatma ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la umeme na hatma ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msema hovyo, Jul 5, 2011.

 1. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hatimaye CCM imefika mwisho baada ya kuchukiwa na watu wa kada zote kufuatia tatizo kubwa la umeme linaloikabili nchi. Watu wa rika, kada, kabila na dini zote hivi sasa wanajuta kuipa kura CCM na hasa Kikwete. wengi ninaokutana nao hivi sasa wanatamani uchaguzi urudiwe ili wafanye maamuzi tofauti. hatimaye CCM Imefika mwishowe.
   
 2. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  haha hali yenu ni mbaya. kama hamtawapa wananchi umeme mapema iwezekanavyo basi maandamano ya kuwatoa madarakani yanakuja.
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Wananchi ndo wamemwambia asee! sio yeye!!
  Hajanunuliwa laptop huyu!!! hata shati hajapewa, ajinunulia sarawili mwenyewe huyu, hapewi na CHAMA!
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Nasikia ile kamati ya Nishati ikiongozwa na Januari inarudi tena Mtera kuangalia kama kweli hakuna maji,
  Taarifa zinazoaminika zinasema, watakwenda na Mbunge wa Mtera yule anayeamini kwamba matatizo katika nchi hii yanaletwa na kuwepo kwa picha ya nyoka kwenye baadhi ya noti za fedha za Tanzania
   
 5. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bora umwambie, anafikiri na mimi nimehongwa chumvi na kapelo.
   
 6. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  haha! Kikwete keshauza nchi kwa lusifeli (shetani). Ndiyo maana tangu aingie ni matatizo tu, mara njaa, mara ajali, mara umeme etc etc
   
 7. 2

  2nd edition Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mwenye mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tunaomba utupatie tafadhari..
   
 8. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwambie huyo, kila siku chadema na slaa tu, anasahau matatizo makubwa yanayoikabili nchi
   
Loading...