Nanyaro hazina kubwa chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nanyaro hazina kubwa chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Jul 4, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni zaidi ya wiki mbili sasa tangu mwafaka wa arusha upitishwe na madiwani wa chadema na ccm,Diwani wa Levolosi kamanda Nanyaro amejipambanua kuwa mzalendo,na mpigania haki wa ukweli,kwa kupingana na wenzake,II,hakika ni mjasiri sana,kimsingi huyu kamanda ni hazina kubwa kwa Chadema,kwa kuweka maslahi ya wanaarusha mbele
  Big up sana
   
Loading...