Wake wa marais Afrika wanajua wajibu wao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wake wa marais Afrika wanajua wajibu wao?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAMBOTA, Jul 4, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Hivi jamani embu tuulizane kwa kirefu kuhusu mafirst lady wa mapresident wetu huku Afrika, hivi kweli wanajua wajibu wao? wanatekeleza au ndiyo kazi kuwapigia kampeni waume zao tu? tena nasikia wengine wanataka hadi waamkiwe na mawaziri( kuna story ya mama Ngina).
  Sasa wadau kulikoni huku Afrika mafirst lady naona wanaongeza foleni tu kwenye misafara ila kwa kweli mchango wao mdogo sana kwenye jamii au ndo tuseme hawajui walitendalo? au kama vipi kuwe na course maalumu kwa wake hawa wa marais wafundishwe kutimiza wajibu wao kama wake wa viongozi !

  by Nova Kambota
  novakambota@gmail.com
  Nova Tzdream -
   
 2. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa awe wa kwanza kuchangia hoja.
   
Loading...