Kamwe ktk maisha yangu sitajishirikisha na mwenge wa uhuru, mwenge wa olimpiki na tamasha la FIESTA.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,940
Kwasababu mwenge wa uhuru ndio kitu kikubwa kutupumbaza Watanzania na kuendeleza vikra za magamba, mwenge wa olimpiki= ukoloni mamboleo na tamasha la FIESTA ; kupinga unyonyaji wa clauz fm dhidi ya vjana wawafugao wa THT Pia jinsi wanavyoua mziki wetu kwa upendeleo wao kwa baadhi ya wasanii.
 
Back
Top Bottom