Viongozi wa Tz wanapostaafu ndio akili zinarudi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Tz wanapostaafu ndio akili zinarudi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir R, Jul 4, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Huwa nashangazwa na viongozi wetu, wanapokuwa madarakani hawaoni hali mbaya ya wananchi. Lakini wanapoastaafu wanaanza kugundua kuwa hali ya wananchi ni mbaya, rejea kauli ya Lowassa, Mkapa, Summaye, Msuya na wengine wengi tu.

  Hata Ngeleja akistaafu atakuja kushangaa kwanini tatizo hili haliishi? ataliona ni tatizo linalotatulika kwa muda mfupi tu. Ataanza kushauri walioko madarakani.

  Uongozi huharibu akili za watu. Ni nani tukampa madaraka akili zake zisihaaribike?
   
 2. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Hata kikwete akistaafu utaona anatoa kauli kama hizo wakati kumbe ujinga wote ndio analaumiwa yeye
   
 3. f

  felista. Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wakati huo wanakuwa wamebambwa na siasa ndio inayoongoza akili zao na wanakuwa watu wa propaganda za kisiasa
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hii inadhihilisha kwamba ilani ya CCM si ya kumkomboa mwananchi
   
 5. c

  chidide Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This is very true! To me ni unafiki tuu! Na sisi kwa vile hatufikirii tunashangilia! Ovyooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ngoja JK nae atoke utasikia, matatizo ya umeme unatakiwa kufanya a, b, c, d, e........ Bora Chinga yeye kaamua kujikalia kimya! To me BM is my role model!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  Nyinyi hamjui kitu kinaitwa political bubble.....
  Ndo maana obama,alikuwa anazungumza hilo saana
  kabla hajawa rais....
  Na amekuwa the first president wa us kutumia simu ya mkononi
  ili awe in touch na hali halisi mitaani....
   
Loading...