Malawi riots spread to major cities after troops clash with protesters Violence erupts in Lilongwe and Blantyre as army and police try to halt anti-government demonstrations
Malawi in...
Ndugu wana JF, Wanachadema wajipange vizuri suala la Arusha. Kama madiwani wanataka ushahidi. Mimi binafsi nafikiri Chama kama Chama Dr Slaa na Marando pamoja na Mbowe wakae chini na kuongea na...
Hata kama si mshabiki wa Chadema sisi tulio nje tunaona mabadiliko makubwa ya nchi yetu. Nchi yetu inabadilika kwa uzuri na hata chama tawala cha CCM kinabadilika!!. Hili ni swala muhimu sana...
Kamati kuu ya cdm imewataka madiwani wake waliochaguliwa kushika nyadhifa kwenye kamati mbalimbali za halmashauri ya jiji akiwemo nafasi ya unaibu meya kujiuzulu mara moja. Kamati ilibaini muafaka...
Tangu lini Fisadi Mgonja amekuwa ni Signatory wa Ikulu?
State House blessing of `illegal` TICTS contract:Ikulu letter signed by Treasury PS Mgonja
-Karamagi thus let off the hook in sensational...
Kesho kutwa kutakuwa na hotuba ya mambo ya nje , kwa niaba ya mhe,Wenje waziri kivuli , anaomba kupata maoni ya watanzania muishio nje ya nchi kuhusu matatizo ya balozi zetu mbalimbali .
tumeni...
Heshima Kwenu wote!
Kwa imani niliyonayo humu ndiko kuna waungwana na wazalendo wengi zaidi,
Katika kupitia gazeti la mwananchi nimekutana na habari hii hapa chini na ikanigusa sana nikafikiria...
Wadau mliowahi kusoma Taqwa secondary Mwanza miaka hiyo ya kuanzia 90's mnalolote la kujikumbusha leo...??
Mimi mwenyewe binafsi nakumbuka kuwa tulikuwa tunakunywa ubwabwa uji wakati wa mapumziko...
Habari wana Jf, kuna ambaye anaweza kututhibitishia hili la kujiudhulu kwa huyu jamaa? kama ni kweli anatakiwa afikishwe mahakamani.....
Source: Mjengwa blog.
Hivi kweli hapa kuna mutual benefit wakati RSA ni upper middle income country na Tanzania ni low income country? http://www.daylife.com/search?q=Jakaya+Kikwete+and+Jacob+Zuma
For instance, it was...
Watanzania kama tunataka maendeleo ni lazima tuwe na utamaduni wa kufanya maamuzi bila woga. Maamuzi muhimu sana kuyafanya ni kuondoa serikali iliyopo madarakani endapo tunaona haina tija kwetu...
Napenda kuwahakikishia kuwa sitawaangusha. Utekelezaji wa Ilani yetu ya Uchaguzi upo salama mikononi mwangu.
Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005.
Serikali ya Awamu ya Nne ambayo nimepewa...
Na Gladness Mboma, Dodoma
SPIKA wa Bunge, Bi. Anne Makinda amemtaka Waziri wa Fedha na Uchumi, Bw. Mustafa Mkulo kuyataja bungeni kampuni 97 zilizonufaika na mpango wa kunusuru uchumi wa Tanzania...
Wakati taifa likiendelea kutokomea gizani kila uchao, na wakati shauku ya kusubiri kuona au kusikia hatma ya Jairo na Ngeleja ikiendelea, ziko habari za uhakika kwamba makampuni ya madini na yale...
Wanaigunga ni watanzania wenye haki ya kikatiba kuwa na muwakilishi bungeni anayefikisha kero zao na taifa kwa ujumla serikalini,
Watendeeni haki watanzania wenzenu.
Tumekua tunatumia muda mwingi kujadili swala la jaribio la wizara ya madini na nishati kutoa hongo kwa wabunge kupitishia bajeti ya wizara hiyo.Majina yametajwa Jairo,Ngereja n.k.Hapa kwa kutaja...
Mi napata tabu kidogo, nimesikiliza MIKAKATI/MIPANGO NA MBIO nyingi ambazo zilikuwa na lengo la kutatua tatizo la umeme ifikapo mwaka 2015 (Miaka minne kutoka sasa) lakini juzi hapa waziri mkuu...
kabla siajaandika tutafanyaje na nina uwezo gani na ninataka watu gani mbele nataka kwanza kujua nina wangapi wanaoungamko hoja. then nitawambia tunafanyaje. please note am serious time has come...
Tunayaona na kuyasikia yanayoendelea kwenye mihimili hii mitatu yaani SERIKALI, BUNGE na MAHAKAMA. Ni muhimili upi sasa unaomba na kupokea rushwa kwa wingi? Ikiwa hali ni mbaya kwa mihimili yote...
Nakuunga mkono kwamba rais hana habari na shida za wananchi wake. kama ulimsikiliza jana alipokuwa anahojiwa BBC alijibu maswali kipuuzi sana tena huku akicheka. Hivi kweli miaka hamsini ya uhuru...