Naomba kujua wangapi wako tayari kuiondoa nchi katika matatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua wangapi wako tayari kuiondoa nchi katika matatizo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Livanga, Jul 20, 2011.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kabla siajaandika tutafanyaje na nina uwezo gani na ninataka watu gani mbele nataka kwanza kujua nina wangapi wanaoungamko hoja. then nitawambia tunafanyaje. please note am serious time has come  alafu muifungie hii mada
   
 2. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Swali lako halieleweki. Kwani ni nani mwananchi anayetamani nchi ibakie kwenye matatizo? Kila mtu ana shauku ya kuona kuwa nchi inapona. Wewe kama una ushauri cha kufanya sema.
   
 3. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  nafurahi kuona angalau mtu mmoja kajibu. njia rahisi ya kuweza kuujuza umma wa tanzania kwa pamoja ni kuhack frequency zote za tv for atleast 30mins hivi and tell the nation the truth that will convince them to have the peaceful demostration all over the nation. now how many people are ready for that so that they can have good points to do that?

  Nafikiri hapo nimeeleweka mbalinga
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Mimi nasema hivi,wale wote wanaiunga mkono CCM hawako tayari kuiondoa nchi katika matatizo, CCM ni janga la kitaifa, hivyo chama hiki kuendelea kuwa madarakani nchi inazidi kuangamia, tuko pamoja mkuu?
   
 5. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Asante sana mkuu nafurahi kuona unaunga mkono hoja nakaribia kutoa mahitaji
   
Loading...