Rais hana habari na shida za wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais hana habari na shida za wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Livanga, Jul 21, 2011.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Nakuunga mkono kwamba rais hana habari na shida za wananchi wake. kama ulimsikiliza jana alipokuwa anahojiwa BBC alijibu maswali kipuuzi sana tena huku akicheka. Hivi kweli miaka hamsini ya uhuru unasema tatizo ni ukame tena sisi hatuwezi kuiambia mvua inyeshe kweli????!!!!!! Karne ya 21 bado unategemea mvua kwa umeme wa taifa mlikuwa wapi miaka yote 50 bila kutafuta njia mbadala haya basi mtasema hela hazikuwepo je mmepoteza shilingi ngapi katika ufisadi na kama mko na nia ya dhati baada ya kupata taarifa za ufisadi mmefanya nini kuzirudisha hela hizo kwa faida ya taifa zaidi ya kulindana, wewe mwenyewe rais unahusika sana kwa mambo mengi yaliyohusikia ndio sababu unawalinda kila afanyae maovu hayo . jana unahojiwa unacheka dah inauma sana. mtanzania anataabika wewe unacheka na kuzurura tu ulimwenguni. haukuchaguliwa kwenda kutalii tu mpaka mataifa mengine yakuita mtalii. I HATE U unaongoza kama wewe ndio kizazi cha mwisho tanzania kumbuka utalipwa hapa hapa maandamano ya tunisia yalianzishwa na mmachingakwa kujitolea kufa kwa faida ya wengi angalia fikiria na chukua taadhari patachafuka kwa upuuzi wako
   
Loading...