Taqwa mwanza.....!!

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
Wadau mliowahi kusoma Taqwa secondary Mwanza miaka hiyo ya kuanzia 90's mnalolote la kujikumbusha leo...??
Mimi mwenyewe binafsi nakumbuka kuwa tulikuwa tunakunywa ubwabwa uji wakati wa mapumziko, na tena namkumbuka sana mwalimu kilyango (density),
wewe unakumbuka nini...???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom