watanzani muishio nje ya nchi toeni maoni kuhusu matatizo ya balozi zetu.

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Kesho kutwa kutakuwa na hotuba ya mambo ya nje , kwa niaba ya mhe,Wenje waziri kivuli , anaomba kupata maoni ya watanzania muishio nje ya nchi kuhusu matatizo ya balozi zetu mbalimbali .

tumeni maoni hayo kwenda info@chadema.or.tz .

Nawatakia kazi njema , na moods naomba muiache hii kwa muda kwani ni kwa nia ya kujenga na kusaidia wenzetu ili changamoto wanazokutana nazo ziweze kufanyiwa kazi kikamilifu na ziweze kuibuliwa .

Pia semeni kama balozi zetu huko zinafanya kazi na kuwajali watanzania ama wao ni kuwajali wawekezaji tuu ili tuweze kuziibua na pia tupani mifano hai.
 
hapa south africa ubalozi ni kama mali ya mtu binafsi
kuna wanawake fulani wanafanya kazi pale wanaboa sana,majibu ya ovyo ovyo,sio ya kitaalamu,ili mradi uondoke mbele yake
kuna mpare mmoja anatoa passport kama umepoteza,jamaa ni ovyo kwelikweli,mkali kama simba huwezi amini yuko nchi za watu
kwa ujumla hapa ubalozini kama hujulikani utaondoka bila kusaidiwa shida yako
 
Sio Kweli Mr. Mbeki unavyosema, Inategemea na Matatizo yako kuna mengine Ubalozi hauwezikukusaidia kama Vile Karatasi za Criminal Record, Vyeti vya kuzaliwa lakini kama upepoteza passport lazima uulizwe maswali ili wajue kama kweli wewe ni Mmbongo au Mkenya. Kuna watu wengi wanakwenda pale na kujifanya ni wabongo hasa Wakenya, warundi na Wasomali. Ubalozi Hapa South Afrika wanasaidia sana Wabongo labda wewe kama una ishu zako binafsi. Lakini kwa msaada wanajitahidi siwezi kuwalaumu. Hata ukitaka kuonana na Balozi wanakupa mmda wa kukutana nae na kumuelezea shida zako
 
Kesho kutwa kutakuwa na hotuba ya mambo ya nje , kwa niaba ya mhe,Wenje waziri kivuli , anaomba kupata maoni ya watanzania muishio nje ya nchi kuhusu matatizo ya balozi zetu mbalimbali .

tumeni maoni hayo kwenda info@chadema.or.tz .

Nawatakia kazi njema , na moods naomba muiache hii kwa muda kwani ni kwa nia ya kujenga na kusaidia wenzetu ili changamoto wanazokutana nazo ziweze kufanyiwa kazi kikamilifu na ziweze kuibuliwa .

Pia semeni kama balozi zetu huko zinafanya kazi na kuwajali watanzania ama wao ni kuwajali wawekezaji tuu ili tuweze kuziibua na pia tupani mifano hai.
hauoni kwamba ni late kidogo?? alijua lini anaongea kesho??

Anyway... kuna haja ya kuboresha madawati ya utalii, kupunguza staffs, kupeleka watu wenye weledi na mambo muhimu ya nchi kama uchumi, kilimo, afya, elimu, na maendeleo kwa ujumla... baadhi ya watu wa "system" mnaopeleka ni maamuma handred pasent
 
Hii alijua baada ya Jairo kuharibu hali na ratiba kubadilika kidogo na wizara yake kupandishwa juu , so ndio maana kachelewa.
 
Soma mail yangu nawatumia Chadema huko moja kwa moja .Na hii ongeni bungeni kabisa kwa sauti kubwa .
 
Back
Top Bottom