Muhimili upi wa dola unaongoza kwa rushwa na kuhongwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimili upi wa dola unaongoza kwa rushwa na kuhongwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WildCard, Jul 21, 2011.

 1. W

  WildCard JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Tunayaona na kuyasikia yanayoendelea kwenye mihimili hii mitatu yaani SERIKALI, BUNGE na MAHAKAMA. Ni muhimili upi sasa unaomba na kupokea rushwa kwa wingi? Ikiwa hali ni mbaya kwa mihimili yote wapi pa kukimbilia? Tunaipeleka wapi NCHI yetu? Kuna tiba ya rushwa nchi hii? Au tuishi nayo kama tunavyoishi na magonjwa sugu kama UKIMWI, KANSA, MOYO,...! Ni WATANZANIA WOTE tumeoza kiasi hiki?
   
Loading...