CHADEMA WALIANGALIA VIZURI SUALA LA ARUSHA - Dr Slaa liangalie hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA WALIANGALIA VIZURI SUALA LA ARUSHA - Dr Slaa liangalie hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Jul 21, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF, Wanachadema wajipange vizuri suala la Arusha. Kama madiwani wanataka ushahidi. Mimi binafsi nafikiri Chama kama Chama Dr Slaa na Marando pamoja na Mbowe wakae chini na kuongea na hao madiwani vizuri wasitumie nguvu na ubabe sana. Kama wanataka chama kisipoteze dira yake ni kulisolve kwa kukaa pamoja na hao Madiwani otherwise CDM watavurugika hapo AR, Pia tukumbuke Arusha wanahitaji maendeleo.

  Ndugu Dr Slaa naomba hili mliangalie kwa uzuri bado chama tunakipenda.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Diplomasia ikitumika najua watafika. Wote wana vichwa vyeusi najua wataelewana tu!
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hii ni kete ya mwisho kwao, mbowe na slaa acheni ubabe na sifa zilizopitiliza kumbukeni cheo ni dhamna wananchi wanataka maendeleo na ili waendelee kumiminika kwenye mikutano yenu onyesheni tofauti kwa kuwapa maendeleo na sio fitna angalia mnagawanyika sasa
   
 4. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA hatuogopi kwenda kwenye uchaguzi mdogo.
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wale wakorofi waliitwa kwenye kikao wakaanza kuleta protocali zao eti wamepewa barua bila madai wakati huo huo wanakanusha madai sijui waliyajuaje wapigwe chini tu kama wamepewa hela watadaiana wao kwa wao sisi hazitusumbui hela za wehu wenzao waende watuachie chama salama. Walikuwa wanaibip kamati kuu ngoja iwapigie.
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwanza kwenda kwenye uchaguzi ni kuzidi kukitangaza chama, chama na wanachama wanakuwa active msimu wote.
  ningependa chaguzi ndogo ziwe kila baada ya miezi mitatu kwa mikoa tofauti hivi lini Igunga na Maswa tukatangaze sera.
   
 7. H

  Haika JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hivi hii ishu nzima, bila chenga ya kuwahusu madiwani hawa, na maamuzi ya KK ya chama yanapatikana wapi? nataka kusoma na mie niweze kufanya maamuzi peke yangu, iko hapa JF? manake mie nasoma ushabiki zaidi
   
 8. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mzee umesahau Mbeya mjini baadae Bariadi baadae Monduli.
   
Loading...