Rostam - CCCM, Bunge na Tume ya Uchaguzi nini kinaendelea. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam - CCCM, Bunge na Tume ya Uchaguzi nini kinaendelea.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bado Niponipo, Jul 21, 2011.

 1. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wanaigunga ni watanzania wenye haki ya kikatiba kuwa na muwakilishi bungeni anayefikisha kero zao na taifa kwa ujumla serikalini,

  Watendeeni haki watanzania wenzenu.
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  1. Bado magamba wanatafakari namna ya kupindisha taratibu ili kumwomba aseme alishinikizwa hivyo a-withdraw uamuzi wake wa kujiuzulu. Tukumbuke CCM ilitumia pesa nyingi na mbinu chafu nyingi sana ili kupata ushindi; sasa itakuwaje ikiwa mfadhili mkuu ameondoka?
  2. Hii ndo staili ya kufanya kazi ya CCM - kupotezea kwanza huku ukiangalia reaction ya wananchi. Mfano mzuri suala la Jairo. Hivi, PM alishindwa nini kumsimamisha kazi akisubiri uamuzi wa aliyemwajiri? Serikali haifanyi kazi kwa kufuata kanuni za kazi; ila kwa kufuata utashi wa mtu.
   
Loading...