Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapa tz kumekuwa na tabia ya chama kikongwe kujaribu kuwachafua vyama mbadala kwa njia mbali mbali, moja wapo ikiwa ni magazeti iwe ya serikali au binafsi, kwa kununua waandishi wa habari nk nk...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbunge wa CUF leo kaonesha wazi kuwa ni damu damu, kwani kaomba mwongozo wa mkiti wa kuwa wao na CDM hawako kambi moja . Nawsilisha.
0 Reactions
99 Replies
8K Views
Kundya ataka Nape,wenzake wapigwe 'stop' KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza,Rajabu Kundya, amesema ziara zinazofanywa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Nape Nnauye na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau, Kama kuna mtu ana rekodi in audio au video airushe hapa janvini tafadhali. Wengine TANESO walitufanyia ubaya.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaji Kiongozi akemea rushwa mahakamaniWednesday, 24 February 2010 08:17 newsroom NA FURAHA OMARY JAJI Kiongozi Fakihi Jundu, amewaasa watumishi wa mahakama, kujiepusha na vitendo vya rushwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za uhakika zilitufikia leo ni kwamba uchaguzi wa jimbo la Ukonga uliokuwa na mvutano mkubwa kati ya baadhi ya wagombea na uliopangwa kufanyika jumapili ya 31/07/2011 UMEAHIRISHWA KWA WIKI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati wabunge watatu wa kambi ya upinzani, Mchungaji MSigwa, Tundu Lissu na Godbless Lema, wakitolewa nje ya bunge kwa kile kilichoelezwa na Naibu Spika, 'kuongea bila ruhusa', Mbunge wa Mbeya...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
After 10 years of rise of cost of living, energy crisis and political scandals, it is time to have a breath of fresh air. Dr. Anna Tibaijuka, who is currently the Minister for Lands, Housing and...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Miezi Miwili baada ya Uchaguzi Mkuu kuna Mambo Kadhaa yametokea ambayo kwa kweli yanagusa Maisha ya Watanzania Directly or Indirectly 1: Mgao Mkali kuwahi kutokea Nchi Nzima wa Umeme 2: Dowans...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Haya mko gizani ,hamlalamiki,hamprotest,mmekaa tuu.why manapenda gizani why mnatakiwa mprotest .nchi haina umeme kwa nini manaachia na kukata tamaa na nchi yenu . Inasikitisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HAYA YAMESEMWA NA MGURUGENZI WA SONGAS KAMA ALIVYONUKULIWA NA GAZETI LA MWANANCHI "Mahitaji ya gesi ni makubwa kutokana na kuongezeka kwa matumizi yake na kwa sababub hiyo hata hiyo mitambo ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunaomba mchukue hatua haraka, msipochukua Hatua za haraka kulinusuru Taifa basi Watanzania waliochoka saaaana na haya maisha watatafuta mbadala wa Kupata Haki yetu.Nyie tumewapa dhamana ya...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Siku hizi baadhi ya wanasiasa wanapotaka kujenga hoja fulani ili kuhalalisha vitendo vinavyofanywa na baadhi ya vyombo vya dola pale ambapo kuna malalamiko ya uvunjaji wa haki za binadamu...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Jimbo la Ismani ni moja kati ya majimbo maskini Tanzania na mkoa wa Iringa.Ni jimbo linalongoza kwa njaa,ukosefu wa Elimu,maji na huduma ya Afya. Kwa mda mrefu vijana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF Waziri wa Zamani wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Mazingira dr. Batilida Buriani yupo live TBC1 akinena kuhusu mazingira. Ukiweza na ukitaka msikilize
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nasikia fisadi Kapilimba kajiunga na magamba. Halafu maamuzi ya college baraza mbona hayafanyiwi kazi? Hivi TUSSO SMMUCO ni ya menejimenti au ya wanachuo?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kiongozi wa Bunge nilitarajia Ndugu Job Ndugai awe Neutral na Asimamie Kanuni bila Kujali Mbunge anatoka Chama Gani. Ndugai ametetea Maneno ya kuudhi yaliyotolewa na Sitta dhidi ya Wabunge wa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Naona kila dalili kwamba wabunge wa CHADEMA na wale wa NCCR - Mageuzi wapo pamoja na naona ushirikiano wao ni mzuri sana bungeni. Kinacholeta tatizo ni huyu mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi...
3 Reactions
184 Replies
15K Views
Bado najiuliza jamani kuhusu swala la jairo mh pinda alidai bungeni kwamba kama yeye ameshapata majibu ya swala hili lakini utokana na mtu huyo kuteuliwa na rais anaitaji kusubiri mapaka rais aje...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Political analysts, the ordinary public and international community argue that Africa has one big problem to solve which is leadership, especially political leadership. The Mo Ibrahim Foundation...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…