Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa mtazamo wangu wa hali ya siasa na bunge katika bunge hili la kumi, nadiriki kusema kwamba sitashangaa sana kama kabla ya mwaka 2015 bunge likaomba kupiga kura ya kutokuwa na imani na...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Ninaomba nianze kwa kukiri kwamba mimi ni miongoni mwa wadau katika taaluma! Ninachukulia maana ya neno siasa kwa namna isiyo rasmi hususani kama ambavyo watu wa kawaida wanavyoweza kuichukulia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naamini mojawapo ya mambo yanayotakiwa kuchunguzwa na kamati ya bunge ni kukiukwa na kuingiliwa kwa mamlaka ya bunge. Mhusika mkuu katika hili ni Luhanjo. Kama Jairo kaenda likizo kupisha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tundu Antipas Mungwali Lissu, (Mb-Chadema) na msemaji wa kambi ya upinzani katika wizara ya katiba na sheria, jana akiwasilisha hotuba ya kambi ya upinzani ya wizara ya hiyo alisema kati ya mengi...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Wadau miaka kadhaa imepita tangu niandike makala yangu katika gazeti moja, haikuchapishwa kwa kuwa nimezidi kuropoka. Wana Jf someni nanyi muone jinsi ninavyopenda kuropoka. Nashukuru uropkaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bunge linafanya nini kwa swala hili na wizara ya fedha inasemaje? Na wanamchi wana mpango gani na swala hili?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Natamani kuona baraza jipya la mawaziri japo lala salama tuone juhudi za mwisho kuinusuru Nchi na heka heka zijazo ambazo, kwa wale wasiopenda kuona maswali yasiyo na majibu yakiwa hayana majibu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HAYA wandugu,kile chama makini chenye viongozi vijana wenye mtazamo wa kuikwamua nchi katika matatizo magumu sasa kipo iringa pamoja na Ruvuma katika harakati za kuhakiki wanachama kuelekea...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
http://www.britishpathe.com/record.php?id=42256 http://www.britishpathe.com/record.php?id=42881
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Mwanzoni mwa mwaka huu kama si mwishoni mwaka jana, kipindi cha orijino komedi kinachorushwa kupitia TBC, kilirusha uchakavu na utelekezwaji wa makumbusho ya mzalendo wa kweli hayati Edward...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baaada ya raisi wetu kushidwa kazi kwenye kila kitu sasa Watanzania wanamtemea Spika Makina kufanya maamuzi magumu nchi na kuokoa nchi tu kwenye janga la umasikini. Kwenye maswala a umeme...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau bunge ndio hilo limeahirishwa tuambizane hapa jamvini ni wabunge gani waliokua makini katika kutetea maslahi ya nchi na kuwawakilisha wapiga kura wao, honestly siwezi kumsahau mh John Mnyika...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Dosari iliingia kwa mgombea wa CUF hakuwa na barua ya kuteuliwa na chama chake. VYAMA vya Chadema na CUF jana viliuteka mji wa Igunda kufuatia maelfu ya wanachama wa vyama hivyo kujitokeza...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Nafkiri washauri wazuri wa CCM ni Gaddafi aliwafanyia mambo mazuri walibya tatizo kasahau kwamba nyakati zina mabadilika. Ben ALLY jeuri ya fedha ilimdanganya. Mubaraki naye hivyo. Nguvu ya umma...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UNITEDREPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATEOF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Na Nova Kambota, Niliwahi kusema kuwa ingawaje ngwara na mtama husababisha mtu kudondoka chini bado ni ukweli ulio wazi kuwa ngwara na mtama ni tofauti anayebisha na abishe! Kuna tofauti kati ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
TANZANIA ni nchi iliyojaliwa ardhi ambayo si mbaya kwa kilimo; ina madini tele yanayouzwa kwa bei sawa na bure kwa wageni; kuna mali asili tele; ina fukwe za bahari, maziwa na mito; ina milima...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa mliosoma Machiavellianism: Mbinu mojawapo ya kutawala kirahisi kabisa ni kuwasahaulisha wanachi mambo ya msingi ama "kuwalewesha" na kuhakikisha unahamisha fikra zao kutoka katika mambo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The Fall of Tyrant Ukiamka leo asubuhi utaona jinsi dunia ina-brace for changes in Libya. Hii ndio news duniani kote 'Gadaffi na watoto wake wameangushwa libya' tunajua hii process imekuwa...
5 Reactions
143 Replies
12K Views
Happy Lazaro, Arusha WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amezitaka mamlaka za dola kuwafukuza kazi, viongozi wakiwamo mawaziri wenzake waliojilimbikizia mali kwenye biashara...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…