Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika mchakato wa uchanguzi uliopita Dr. Slaa ulifafanua vyema sera ya elimu ya chama chako na nini ungetufanyia watanzania iwapo ungechanguliwa. Kwa wale walio kuamini walikuchagua hata kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ames Magai WAMILIKI wa Kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Dowans jana walitoka mahakamani kwa furaha baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kutupilia mbali pingamizi la wanaharakati waliofungua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waheshimiwa viongozi wa Chadema. Mara nyingi huwa tunasikia CCM inafungua matawi nje ya nchi lakini sioni wapinzani wakifanya hivyo. Je, Chadema inakaribisha wanachama na wakereketwa wa Chama...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
Tuesday, 06 September 2011 21:43 CCM WAREJESHA FOMU KIMYAKIMYA, KIVUMBI CHA KAMPENI KUANZA LEO Boniface Meena na Geofrey Nyang'oro, Igunga CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
HAPA CHINI NI MGOBEA WA UBUNGE WA CCM HUKO IBUNGA, HIVI NI KWELI NI HURUMA KWA KILA TATIZO LA MTANZANIA AU NI HURUMA WAKATI WA KUOMBA KURA????? MGOMBEA WA CCM IGUNGA AANZA MBIO ZA UBUNGE...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
THE High Court on Tuesday struck out a Legal and Human Rights Centre's (LHRC) petition of objecting the registration of Dowans SA 94bn/- award. Presiding Judge Emilia Mushi threw away the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Nimekuwa na hamu na shauku kwa muda mrefu kuwafahamu kwa majina na ikiwezekana kwa nyadhifa zao wajumbe wote wa kamati kuu ya CHADEMA, wachache ninaowafahamu ni Mtei, Bob makani, mbowe...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimekuwa nasoma magazeti kwa mwezi mzima yakimshambulia mzee mkapa,mengi ya haya magazeti ni yale yanayo shabikia sana chadema! Hoja kubwa ni mkapa kuteuliwa kwenda igunga kuzindua kampeni za ccm...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
From CCM Website; Imetayarishwa... 11:28:00 28.06.2011 Kutoka Gazeti la Habarileo KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mukama, amesema yeye ni sawa na mtu aliyeteuliwa kufanya kazi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi nchi yenye raia karibu milioni 40 hakuna mtu anayeweza kuwa mwenyekiti wa hii bidi zaidi ya huyu dinosaur? JK hebu jaribu kuwa serious
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
...but I'm not sure whether you meant it! I'm referring to your recent speech on Eid baraza. Try for once to live up to your promises.
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Leo ndio ilikuwa siku rasmi ya kurejesha form ya kugombea Ubunge Igunga. Kuna taarifa za awali kwamba kuna mgombea wa chama fulani hajarejesha. Je ni mgombea yupi? Wa chama gani na ni kwa sababu zipi?
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Natambua umuhimu wa suala la itikadi,ambapo natambua kuwa ndiyo msingi mkubwa juu dira ya Taifa ,lakini pengine kupitia itikadi tunaweza kupata muafaka juu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania ina mamlaka kadhaa zikiwemo tfda, tcra, sumatra, ewura n.k lengo hasa la hizi mamlaka zilikuwa kuhakiksha mtanzania anapata ubora na unafuu katika maeneo husika ya hizi mamlaka. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Citizen (Dar es Salaam) Boniface Meena 5 September 2011 Igunga — Politicians participating in the Igunga by-election yesterday criticised the Police Force for alleged intimidation of...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
“CCM NA SIZITAKI MBIVU HIZI”. Hivi karibuni vyombo vya habari hasa magazeti vimekuwa vikiripoti juu ya mchakato wa uchaguzi mdogo wa Igunga.Binafsi nimevutiwa na mkakati wa CCM kumtumia Raisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kitabu hiki cha JK kina mengi mazuri na kukosolewa. ukipata muda kisome. anaonekana alikuwa na ndoto ila maji ni marefu kwake.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere ametangaza kusudio la kuwasilisha hoja binafsi katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho(Nec) mapema mwezi huu kuhoji sababu za watuhumiwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nililiangalia baraza kivuli la mawaziri lililoundwa na upinzani bungeni.. nikaassume endapo kama Dr. Slaa angepita hili ndilo lingekua baraza lake la mawaziri.. Msemaji ofisi ya Raisi: Freeman...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Umuofia kwenu wana jf popote pale mlipo!! Najua miaka hamsini ya uhuru si mda haba,kwa maisha ya kuunga unga kama ya kwetu ya kitanzania bila shaka ni umri wa kuitwa kikongwe!!?Yapo mengi ya...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Back
Top Bottom