Tawi la Chadema Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tawi la Chadema Marekani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by V.P, Apr 24, 2011.

 1. V

  V.P Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Waheshimiwa viongozi wa Chadema.

  Mara nyingi huwa tunasikia CCM inafungua matawi nje ya nchi lakini sioni wapinzani wakifanya hivyo.

  Je, Chadema inakaribisha wanachama na wakereketwa wa Chama kufungua matawi nje ya nchi? Kama jibu ni ndio naomba mutusaidie jinsi ya kuwasiliana na Chama na ni nani wa kuwasiliana naye.
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  sio lazima CHADEMA iwaige CCM kufungua matawi nje ya nchi, sio lazima CDM ijivue gamba kama hao mafisadi.......kiufupi CDM hawaigi toka CCM, but viceveza is true!! Kufungua matawi nje ili iweje??kwanza huko hamruhusiwi kupiga kura, we subiri katiba irekebishwe labda wapiga box mtafikiriwa..otherwise rudini nyumbani mjiaandikishe mtapewa kadi ya CHADEMA,zipo nyingi tu huku kitaa!!
   
 3. V

  V.P Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nadhani matokeo ya Middle East yamethibitisha umuhimu na Social media na nguvu ya active patriotic supporters beyond national boundaries katika kupiga vita ufisadi na dhuluma. Pia itakuwa ni hatua ya kuwa pro active katika ku strengthen political participation pale ambapo dual citizenship itakuwa imeshapitishwa.
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Historia yao hao waarabu ni ndefu mkubwa....mbona nyie mpaka leo hamjaonyesha makeke yoyote kuhusu katiba??au mauaji ya arusha??ni strengthen zipi ambazo mtazipata na kuzionyesha kuhusu njiii yetu hii...ufisadi still destroys us harshly and not softly...thats why nyie mmekimbilia ughaibuni!!
   
 5. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
 6. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  idea yako ni nzuri usikate tamaa kutokana na kauli za baadhi ya watu, Hata km ccm wana matawi nje haimanishi na cdm tukifungua itakuwa vibaya, hata hv ikumbukwe ccm imekaa madarakani mda mrefu na ina mizizi mingi ndo maana mambo mengi cdm tutakayokuwa tunataka kuyafanya tunaweza kukuta wenzetu washayafanya tayari.
   
 7. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ninaona ni vizuri V.P. akapewa njia y kufungua tawi ili atimize azma yake aliyonayo moyoni kama mpenzi wa CDM
   
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Idea nzuri... sana anzeni mchakato
   
 9. U

  Uswe JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inawezekana we Sizinga ukawa umefanya kazi nzuri katika kuhakikisha ule muswada hauendi bungeni kuliko MM? kama unahisi hivyo think again, Mwanakijiji yupo nje na anafanya kazi nzuri sana, amekurupua mafisadi kibao, ameandika makala nyingi zilizochochea mijadala yenye tija, wapo wengi humu ndani wako nje na wanafanya kazi nzuri sana, wazo la mtoa hoja naliunga mkono, tuwaze kujitanua nje ya mipaka yetu
   
 10. G

  Ghuhia shabani New Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazo zuri sana,inaonyesha ni jinsi gani mulivyo na uchungu na nchi yenu,huu ni mwanzo mzuri wa kuhakikisha mali za Watanzania zinalindwa na Watanzania wenyewe,mchakato uanze mapema.
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Huko ughaibuni mmefikaje fikaje? Msije mkawa ni vifisadi vidogo vidogo mnataka kuleta nuksi kwenye chama
   
 12. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  wengi walio ughaibuni huwa nahisi ni watoto wa mafisadi lakini siku hizi nimebadili mtazamo huu,wengi ni wazalendo lakini nendeni bbc na cnn muongelee ufisadi huku nyumbani tunakufa jamani,.umeme hakuna,maji tabu,..umasikini umetamalaki rudini tuandamane nchi imeshauzwa kwa wawekezaji
   
 13. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni wazo zuri sana mkubwa, kila la kheri, ingia kwenye tovuti ya cdm then utapata more info
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Waliko nje ya nchi wana haki nafasi kubwa kwenye chama kwani wengi wameenda huko kuhangaika, kusoma.....hivyo mwisho wa siku watarudi nyumbani...kama kuna jema tunaweza kulichukua kutoka chama cha magamba siyo vibaya kulichukua......
   
 15. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Amini usiamini wengi wa wanaofungua matawi ya vyama vya siasa nje ya nchi ni wanachama maslahi ambayo hasa ndo wanaisindikiza ccm kaburini, hawana lolote la maana, issue sio matawi issue ni uwezo angalau wa kupiga kura kwa watanzania wanaoishi nje.
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nani wa kuwapigania?
   
 17. m

  mwibara Member

  #17
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni wazo zuri kuwa na tawi, mtazamo ni kwamba hapa, tunataka tupate mahali pa kutolea sauti ya umoja. angalau tukisema kitu kionekane kimetoka kwenye tawi

  aksanteni
   
 18. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nahisi hivyo mtego wa noti huo.
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mKUU I THINK YOU ARE MISSING ALOT IN YOUR ANALYSIS

  Kufungua tawi si lazima waige CCM but they can open as well without any problem... Ya uarabuni pamoja na historia ndefu, baadhi ya positives from their movement can be copied as well, si lazima tupitie njia ndefu

  hayo ya ufisadi ni kweli kabisa

  Ila la kukimbilia ughaibuni, sijui but i think other wamekwenda kutafuta elimu, others wamekimbia ufisadi, other wamefuata mkumbo, others wamepata nafasi ya kuwa na influence zaidi ya yanayotokea bongo and others are on holidays ... TUSIHUKUMU KIRAHISI KAMA UFANYAVYO WEWE
   
 20. Josephine

  Josephine Verified User

  #20
  Apr 24, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Thx we need people (Tanzanians) from every conner of the world to join us and together we can push for a new and true independence.

  please call Dr slaa +255 783967519 for more advice.well thoughts should be apreciated.Thank you.
   
Loading...