Makongoro atangaza vita na Magamba yaliyong'ang'ania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro atangaza vita na Magamba yaliyong'ang'ania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Sep 6, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere ametangaza kusudio la kuwasilisha hoja binafsi katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho(Nec) mapema mwezi huu kuhoji sababu za watuhumiwa wa ufisadi kushindwa kujiuzulu hadi sasa huku akimtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete kuachana na watuhumiwa hao.

  Source: Mwananchi
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  gamba lipi sasa maana kikwete mwenyewe ngamba mpaka anahongwa suti..kama wanania ya dhati waanze na kichwa..
   
 3. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Amuulize Chiligati alivyonyamazishwa!
   
 4. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anaubavu?

  Danganya toto hatutaki maneno
  Tunataka matendo tumechoka kusikia
  Magamba yamewashinda anzisheni
  Wimbo mwingine
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yeye mwenyewe GAMBA. Hakuna ambaye alie wa CCM asiwe gamba. NAni alikuwa anafikiria mtu kama Kingunge ni fisadi, what about Msekwa na ngorongoro yake. Luhanjo Je? CCM wote ni magamba na mauti yao yapo njiani yanakuja kwa kasi ya ajabu.
   
 6. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Makongoro songa mbele watanzania tunakuunga mkono.Achana na kelele za MAGWANDA wenzangu.Hawatumii akili kuchambua mambo.Ni mm na Zitto basi.Kama mtanzania ninakuunga mkono bila kujali itikadi ya chama changu.
   
 7. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hii ndiyo shida ya unafiki ama kutumikia makundi yanayohasimiana ndani ya CCM. Kabla ya kwenda NEC Taifa,safisha nyumba yako kwanza CCM - Mara.
   
 8. OMGHAKA

  OMGHAKA Member

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapambane tu hadi life li-CCM lao, hatulihitaji limetukwamisha sana
   
 9. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Huko ni kupoteza muda tu kua ndani ya CCM kwani hakuna hata mmoja alie msafi ndani ya hicho chama
   
 10. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hili suala la JK Kuhongwa SUTI limeniacha hoi sana, hii nchi imelaaniwa!.
   
 11. kanywaino

  kanywaino Senior Member

  #11
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mh yeye makongoro sio gamab?hatumiwi na magamba kwa njia yoyote?hiyo ni dalili kuw ameshaingia kwenye makundi pia....yaani nae ana mwelekeo flan ambao sidhan kama unatofauti na anaowatarajia au kuwataka wajivue magamba.moyoni kwake anajujua
   
 12. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kumbe hii movie bado inaendelea wakati Starring mwenyewe Nepi ameshainamishwa na Magamba!
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mwenye taarifa ya lini kikao cha nec kitafanyika anisaidie.
   
 14. W

  We know next JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  OK Mzee Makongoro, tutasubiri kusikia kama kutakuwa hakuna uwajibikaji wa pamoja.
   
 15. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hana lolote mnafki tu...................huh
   
 16. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Jitahidi bwana Makongoro utuondolee huu msalaba. Watanzania tunataabika nao tunaomba uupeleke pale mlipoiacha NCCR MAGEUZI.
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  <br /> <br / unatafuta atention za watu huna lolote.
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Amwanze kwanza MBAYUWAYU a.k.a ****** ndo awafate kn EL.
   
 19. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  tusubiri tuone nini kitafanyika mwishowe au nani atakuwa yuko juu yamwingine
   
 20. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu sii lazima utumie matusi kila unapopost commets zako. Tumia tu lugha za kistaarabu tutakuelewa pia. Nimeona kwenye thread ingine mara kapakatwa na mwarabu, kwa kifupi michango yako ni full matusi. Assume unasoma na dada yako hapo pembeni.
   
Loading...