Ccm igunga ni huruma baada ya kifo cha mtoto au ni huruma wakati wa uchaguzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm igunga ni huruma baada ya kifo cha mtoto au ni huruma wakati wa uchaguzi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGAMBA MATATU, Sep 5, 2011.

1. MAGAMBA MATATU

MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

#1
Sep 5, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 617
Likes Received: 220
Trophy Points: 60
HAPA CHINI NI MGOBEA WA UBUNGE WA CCM HUKO IBUNGA, HIVI NI KWELI NI HURUMA KWA KILA TATIZO LA MTANZANIA AU NI HURUMA WAKATI WA KUOMBA KURA?????
MGOMBEA WA CCM IGUNGA AANZA MBIO ZA UBUNGE KWA MKOSI......

[​IMG]
MKURUGENZI wa Uchaguzi jimbo la Igunga Magayane Protace (kulia) akimkabidhi fomu za kuwania ubunge wa jimbo hilo, mgombea mteule wa CCM Dk. Dalally Kafumu , jana. Wengine ni Katibu wa CCM wilaya ya Igunga Neema Adamu na Msimamizi wa masuala ya uchaguzi wa CCM, Matson Chiz
[​IMG]
MGOMBEA mteule wa CCM jimbo la Igunga Dk. Dalally Kafumu (kushoto) na Mratibu wa Uchaguzi wa CCM jimboni humo, Katibu wa NEC ya CCM, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba wakiwa katika huzuni kwenye hospitali ya wilaya ya Igunga ambako walisaidia kupeleka mwili wa mtoto Peter Ezekiel ambaye alifariki papo hapo baada ya kugongwa na lori la mizigo katika barabara ya Igunga-Singida akijarbu kuvuka barabara akiwa na mamia ya wananchi wa jimbo hilo waliokuwa wakimsubiri Kafumu na msafara wake, jana. Kulia ni ndugu wa mtoto huo.
[​IMG]
MGOMBEA mteule wa CCM jimbo la Igunga Dk. Dalally Kafumu (kushoto) na Mratibu wa Uchaguzi wa CCM jimboni humo, Katibu wa NEC ya CCM, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba wakimfariji Kulwa Mpina baada ya kufikisha kwenye chumba cha kuhifadhi maiti mwili wa mtoto Peter Ezekiel ambaye alifariki papo hapo baada ya kugongwa na lori la mizigo katika barabara ya Igunga-Singida akijarbu kuvuka barabara akiwa na mamia ya wananchi wa jimbo hilo waliokuwa wakimsubiri Kafumu na msafara wake, .

2. p

politiki JF-Expert Member

#2
Sep 6, 2011
Joined: Sep 2, 2010
Messages: 2,356
Likes Received: 154
Trophy Points: 160
nafikiri zaidi ni sense of guilty ndio inawapa wao tabu zaidi kwamba wao ndio wamesababisha kifo cha mtoto kwa sababu watoto
hawana vyama isipokuwa CCM siku zote imekuwa ikitumia watoto kama mtaji wao wa kisiasa. CCM walishaonywa siku nyingi
wawaache watoto wasome shule, wakati wa uchaguzi walifikia mahala pa kufunga shule za misingi ili watoto waende kwenye mikutano ya CCM ili waonekane wako wengi hasa wa shule za msingi. CCM iko guilty kwani hawasikii mtoto huyu alibidi awe shuleni au kwao anajisomea kama watoto wa Kafumu na mwigulu na siyo kwenye political rally ambazo haziwasaidii lolote. CCM kimekuwa kikisisitiza wanavyuo kutojiusisha nasiasa vyuoni whenever it is inconvenience to them. mpaka leo hii naona kimya kuhusiana na wahusika wa ajali kutochukuliwa hatuakuanzia dereva wa fuso la CCM lilomgonga mtoto na pia wahusika wote ndani ya CCM walio organize watu wabebwe kwenye fuso kinyume na sheria za usalama barabarani. CCM mkome kutumia innocent kids kama Peter Ezekiel Mungu amlaze pema peponi kama mitaji yenu ya kisiasa.

3. Azimio Jipya

Azimio Jipya JF-Expert Member

#3
Sep 6, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 3,370
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
Pole kwa wafiwa!

4. RedDevil

RedDevil JF-Expert Member

#4
Sep 6, 2011
Joined: Apr 30, 2009
Messages: 2,287
Likes Received: 903
Trophy Points: 280
RIP Peter Ezekiel. WanaIgunga fanyeji kweli muwe chanzo cha mabadiriko. Lakini Mmmmmmmmm!! Igunga?

5. U

Uwezo Tunao JF-Expert Member

#5
Sep 6, 2011
Joined: Nov 14, 2010
Messages: 6,947
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
Poleni sana wafiwa!

6. Kinyungu

Kinyungu JF-Expert Member

#6
Sep 6, 2011
Joined: Apr 6, 2008
Messages: 4,381
Likes Received: 3,341
Trophy Points: 280
Mnafiki hana haya

7. Khakha

Khakha JF-Expert Member

#7
Sep 6, 2011
Joined: Jul 15, 2009
Messages: 2,983
Likes Received: 371
Trophy Points: 180
aah SIASA BWANA. CCM HURUMA HII WAKATI WA UCHAGUZI ITAWAPELEKA PABAYA. WANAIGUNGA WANAJUA KUWA HUO NI USANII TU.

8. L

Losemo Senior Member

#8
Sep 6, 2011
Joined: Mar 30, 2010
Messages: 183
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kafara zimeshaanza. Mungu atawalaani

9. S

SEAL Team 6 JF-Expert Member

#9
Sep 6, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 655
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hii ni hatari sana, tayari CCM wamefanya tambiko lao.

10. n

ngwendu JF-Expert Member

#10
Sep 6, 2011
Joined: Jun 7, 2010
Messages: 1,967
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
wakuu hebu tuwekeni sawa hapo. hivi ni gari la ccm limemgonga au lori la mizigo along the way from Igunga to singida? Naona mnatuchanganya hapa.

11. F

FUSO JF-Expert Member

#11
Sep 6, 2011
Joined: Nov 19, 2010
Messages: 11,866
Likes Received: 2,340
Trophy Points: 280
Kungombea uongozi kupita CCM ni lazima uwe na roho kama ya paka mweusi.

12. Big One

Big One JF-Expert Member

#12
Sep 6, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 759
Likes Received: 1
Trophy Points: 33
polen wafiwa mungu ametwaaa jina la bwana libalikiwe

13. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#13
Sep 6, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Palitokea madaktari bingwa kutoka
nchi 3, CHINA, UJERUMANI na
TANZANIA. Wakawa wanajadili
mafanikio yaliyofanywa katika nchi
zao.
MCHINA Akaanza, kwetu alizaliwa
mtoto hana mkono tukamwekea wa
bandia na sasa ni mpiganaji wa
karate.

MJERUMANI Akasema hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu
yote miwili tukamwekea ya bandia na
sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana
medali 3 za dhahabu.

MTANZANIA Akacheka sana akasema kwenu bado hamjafikia rekodi yetu,
sisi hapo BAGAMOYO alizaliwa mvulana
hana kichwa tukamwekea nazi na
sasa ni RAISI WA JAMHURI YA
MUUNGANO WA ......

14. DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

#14
Sep 6, 2011
Joined: Nov 13, 2009
Messages: 11,635
Likes Received: 4,745
Trophy Points: 280

Wanga wakubwa nyie magamba mnajifanya mna masikitiko usoni kumbe rohoni mnachekelea kuwa kafara limekubalika.Fix sana nyie CCM na uroho wenu wa madaraka ndiyo kaburi lenu. ILAANIWE CCM MILELE NA MILELE

15. WISDOM SEEDS

WISDOM SEEDS JF-Expert Member

#15
Sep 6, 2011
Joined: Jun 1, 2011
Messages: 782
Likes Received: 14
Trophy Points: 35
Yale yale ya Mkapa kule Mwanza!

16. MAGAMBA MATATU

MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

#16
Sep 6, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 617
Likes Received: 220
Trophy Points: 60
Huo ndoo ukweli kwani ni nazi tena iliyokunwa tayari.

17. t

takeurabu JF-Expert Member

#17
Sep 6, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 255
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
huu ni uchochezi, dharau, kejeli, chuki na usongombwingo kwa rais wetu mpendwa jmk! unstahili ukamatwe na usweke ndani!!!

18. Arafat

Arafat JF-Expert Member

#18
Sep 6, 2011
Joined: Nov 17, 2009
Messages: 2,582
Likes Received: 41
Trophy Points: 0
Na amini sio wao waliouwa kama kawaida ya wanasiasa wetu kwa ushirikina!

19. K

Kibarua Member

#19
Sep 6, 2011
Joined: Sep 1, 2011
Messages: 8
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Unafiki tu kuwatumia hao maskini kama mtaji wa kura mbona hawachangii wagonjwa wa moyo na magonjwa mengine wanotakiwa kupelekwa india kwa upasuaji na wanatangazwa kila siku

Loading...