Jk: Tumaini lililorejea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk: Tumaini lililorejea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Sep 6, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kitabu hiki cha JK kina mengi mazuri na kukosolewa. ukipata muda kisome. anaonekana alikuwa na ndoto ila maji ni marefu kwake.
   
 2. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unatushauri tusome ndoto za mtu!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  too late.
   
 4. n

  ngokos Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusoma kitu kingine na kukubaliana na hoja kitu kingine


  kuwa mbishi wa kila jambo ni mchawi
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sisomi kitabu cha kumsifu mtu anayehongwa koti na suruali
   
 6. k

  kingtuma Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaandika mwenyewe au katungiwa na magamba yake
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Raisi wetu ni rahisi sana! Nataka mnunua Bagarashia na Kandambili
   
 8. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kuna mchina mmoja alisema watanzania ni rahsi sana kuwahonga,imeonekana wazi maneno ya huyu mchina yalikuwa sawa kabisa kwa sababu rais mwenyewe anahongeka kwa suti,vp watu wengine? Ni aibu,eti wanakanusha,hawataweza kumsafisha hata wangekuwa wanafanya pres conference kila siku kukanusha.
   
Loading...