Dr. W. Slaa: Na Elimu ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. W. Slaa: Na Elimu ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Didia, Sep 7, 2011.

 1. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Katika mchakato wa uchanguzi uliopita Dr. Slaa ulifafanua vyema sera ya elimu ya chama chako na nini ungetufanyia watanzania iwapo ungechanguliwa. Kwa wale walio kuamini walikuchagua hata kama maoni yao yalipinduliwa. Naamini kwa dhamilia yako isiyo teteleka yanayotokea sasa kwa vijana wengi wenye sifa kukosa mikopo ya elimu ya juu yangekuwa ni ndoto. Hii nikama matamanio ya wengi yangesikilizwa na kuheshimiwa.

  Naamini katika hili bado una nafasi ya kusaidia watanzania japokuwa si kwa kiwango ulichokitamani . Angalau utufariji kwa kusikia tena Sauti yako katika sakata hili la mikopo ya elimu ya juu. Mimi ni miongoni mwa wale wanao amini sauti yako ina nguvu. HILI NI OMBI LANGU KWAKO

  AHSANTE
   
 2. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Elimu ya Tanzania isiangaliwe kuanzia juu(Versity) na si mikopo tu bali aina ya elimu,utaratibu wa utoaji elimu hii,sera ya elimu na mitaala,je vinakidhi kiwango cha elimu tuitakayo Watanzania.Kama Dr.Slaa na CDM wanaiangalia elimu ya Tanzania kwenye mikopo tu,wanalenga political tool japo si mbaya.(am CDM)
  1.Kwanza CDM tafuteni jinsi ya kuondoa Utumiaji wa Kiswahili kama Lugha ya kufundishia mashuleni ili tuondoe tabaka ili la Wenye nacho na Wasio nacho,
  2.Wenye nacho(English Medium Academy) na Wasio nacho(Saint Kayumba-Kiswahili Academy)
  3.Shule zote za Tanzania from Chekechea to form six kitumike Kiingereza,Kiswahili ibaki kama somo.
  4.Kama kuna kitu kinatugawa kwa kasi Tanzania ni hii Elimu ya Lugha mbili.

  Utekelezaji wake;

  1.Waandaliwe walimu wa kutosha wenye ngazi ya Diploma ili wafundishe Primary na Degree level wafundishe form one to six
  Dr,Slaa nakuuzia hii idea plz put into practice ili tuondoe tabaka ili linalokua kwa kasi,Kiingereza kimewafanya Watanzania kuonekana watumwa katka ajira binafsi.Hotel na bar hapa nchini zinaanza kuajiri barmaid na barmen kutoka Kenya na uganda kisa lugha,aibu

  Elimu si Lugha tu ila Kwa leo nimejadili lugha,sipingani na hiyo hoja ya Mikopo.
   
Loading...