Mgombea wa Chama gani hajarudisha form IGUNGA?

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
5,606
Points
1,225

Gagurito

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
5,606 1,225
Leo ndio ilikuwa siku rasmi ya kurejesha form ya kugombea Ubunge Igunga. Kuna taarifa za awali kwamba kuna mgombea wa chama fulani hajarejesha. Je ni mgombea yupi? Wa chama gani na ni kwa sababu zipi?
 

Forum statistics

Threads 1,389,996
Members 528,065
Posts 34,040,577
Top