Kumbomoa Mkapa igunga wakati mgombea ni Dr Kafumu kunawasaidia CUF, CHADEMA katika siasa?

kanyasu

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2009
Messages
234
Points
0

kanyasu

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2009
234 0
Nimekuwa nasoma magazeti kwa mwezi mzima yakimshambulia mzee mkapa,mengi ya haya magazeti ni yale yanayo shabikia sana chadema! Hoja kubwa ni mkapa kuteuliwa kwenda igunga kuzindua kampeni za ccm kwa dr kafumu! Hapa najalibu kujiuliza dr mkapa atakapobomolewa (kama uwezo wa kumbomoa wanao),madhambi ya mkapa yana uhusiano gani na mgombea na yanamaslahi gani kwa wananchi wa jimbo la igunga ambao wanataka mbunge mwenye uwezo wa kuwawakilisha?

Nitoe mfano yapo madhambi mengi yanasemwa kuhusu dr slaa kuzaa na mke wa mtu,mbowe kuuza kwa kibabe music sysytem kwa chama,zitto kufaidika na abg baada ya kuonesha kuwafatafata mwaka 2007,lema kwamba ni jambazi,tundu lisu kufilisi fedha za ngo ya leat nk sasa tuhuma za hawa wakubwa zina athali gani kwa mgombea wa chadema?

Hivi siyo kweli kwamba watu wa igunga wanataka kujua uwezo wa mbunge wao na siyo ujinga wa mpiga debe wake?
Najua ndani ya jf wapo watu wavivu kufikiri watakulupuka kujibu ujinga ujinga kwa ushabiki.
 

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,542
Points
2,000

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,542 2,000
Yule alibakwa na Yusufu Makamba siyo? Masikini mama wa watu sijui aliishia wapi?

Dada wa watu alikuwa jasiri sana na akaishia kumlamba jiwe usoni, hadi leo ana nundu......

Mie sikufahamu kama alimuoa baadaye. Looh, isije kuwa ni mama yake FULANI....
Hujakosea kabisa, wake wa pili wa kwanza walikuwa nanihii kule Kigoma!
 

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,822
Points
2,000

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,822 2,000
Ccm inatumia nguvu nyingi akili kidogo.
Halafu nasikia mkulu aliwahi kunuliwa sarawili na kawoshi ili awape waarabu sehemu za kujenga mahoteli.
Aibu sana hii!
 

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,965
Points
1,225

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,965 1,225
Ccm inatumia nguvu nyingi akili kidogo.
Halafu nasikia mkulu aliwahi kunuliwa sarawili na kawoshi ili awape waarabu sehemu za kujenga mahoteli.
Aibu sana hii!
Mwarabu huyo huyo ananunua mahakama kwa mgongo eti atajenga ingine sijui wapi huko duhh.
 

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
11,781
Points
2,000

mgt software

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
11,781 2,000
ni sahii kumbomoa Mkapa/Kafumu, unajua maana ya kafumu, kafumu ni kamunganga uchwara kenye ujanja ujanja wa kudanganya watu, na Mkapa ni kiongozi aliyeanzisha ufisadi Tanzania, kwani vyanzo vyote vya ufisadi mshirika mkuu ni yeye, wewe unayesema kuwa CDM na Upinzani ni wapuuzi, wewe ndiye mpuuzi No. 1 kwa kuwa CCM ni No. wani kwa ufisadi na Kuchakachua kura. Sasa unanyanyua fisadi papa Asaidie Fisadi dagaami kuongoza jahazi linalozama la Fisadi Nyangumi RA?.hapo wamekwisha.
 

ipogolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Messages
5,870
Points
2,000

ipogolo

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2011
5,870 2,000
na nyie wake wa CCM mtabaki uchi kabisa
MAMAYANGU MZAZI! HIVI UNAWEZA KUJIITA M PhD UKAWA NA MAWAZO YA MATUSITUSI KIASI HIKI? HIVI HII NI JF YA GREAT THINKERS AU WALEVI WA POMBE KAMA PICHA INAVYOONESHA? JF HUWEZI KUCHUJA MAWAZO HASI TUKAPATA FIKRA THABITI? AU KILA MMOJA ANAO UHURU WA KUTOA MAWAZO NA MTAZAMO WAKE? MUNGU INUSURU JF.
 

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
1,524
Points
1,195

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
1,524 1,195
Yule alibakwa na Yusufu Makamba siyo? Masikini mama wa watu sijui aliishia wapi?

Dada wa watu alikuwa jasiri sana na akaishia kumlamba jiwe usoni, hadi leo ana nundu......

Mie sikufahamu kama alimuoa baadaye. Looh, isije kuwa ni mama yake FULANI....
wee acha maskhara! hivi ni kweli chanzo cha ile nundu ndo msala huo?
 

Forum statistics

Threads 1,389,402
Members 527,919
Posts 34,024,474
Top