Wanaweza??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaweza???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Avatar, Mar 18, 2011.

 1. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Nililiangalia baraza kivuli la mawaziri lililoundwa na upinzani bungeni.. nikaassume endapo kama Dr. Slaa angepita hili ndilo lingekua baraza lake la mawaziri..

  Msemaji ofisi ya Raisi: Freeman Mbowe,
  Msaidizi: Silinde David
  Uwekezaji na Uwezeshaji: Matiko
  Ofisi ya Waziri Mkuu: Vicent Kiboko
  Ofisi ya Raisi: Said
  Ofisi ya Raisi & Utawala Bora: Mch Nakse wa Karatu
  Ofisi ya Makamu wa Raisi: Gekulu
  Ofisi ya Raisi & Mazingira: Leticia Nyerere
  OFisi ya Fedha: Zitto Kabwe Msaidizi: Christina Lissu
  Mambo ya Ndani: Lema
  Katiba ya Sheria: Tindu Lissu
  Kimataifa: Wenje
  Jeshi la Ulinzi: Seladhini
  Mawasiliano: prof Kayili
  Makazi: Mdee
  Maliasili: Mch Peter Msigwa
  Nishat na Madini: Mnyika
  Ujenzi: Machemli
  Uchukuzi: Mhonga Said
  Viwanda: Olenywa
  Elimu na Mfunzo: Mtinda
  Afya: Dr Gilbert Mbasa
  Maendeleo ya Jamii: Naomi Kaiula
  Vijana na michezo: Mbilinyi Mr Two
  Kilimo: Meshack Obulugwa
  Maji: Haines Kiwia
  NB:- Kama kutakua na changes ni kidogo sana!.

  Tujiulize viongozi hawa wangetufikisha tunakoenda?? Manung'uniko, migogoro, majanga, umasikini na kuzorota kwa elimu na mengine kama haya yangeendelea kuwepo au wangefanikiwa kuyakabili??..
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu! Acha kukurupuka, na usiwe msahaulifu na mvivu wa kusoma! Umeshasahau ilan ya CHADEMA? Haina baraza kubwa kama la mkwere, jipange uje na thread.
   
 3. The Kop

  The Kop JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  wanaweza sana kwani hauoni wala kusikia wanavyowachachafya mabwege wa thithiem....!
   
 4. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hakuna chuo cha urais, uwaziri wala ukuu wa mkoa. Kama wengine walivyoweza hata hawa nao wangeweza. Kwani wewe huwezi?
   
 5. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mh!.. Unaamini mtu yoyote anaweza kuwa Raisi!?...
   
 6. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mtu yoyote ni nani?
   
 7. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #7
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mimi, Wewe, Lowassa, Chenge, Kikwete, Invisible, Matonya......... nk.
   
 8. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #8
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya maneno na utendaji!...
   
 9. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Unapouliza kama mtu yoyote anaweza kuwa rais; jibu la kwanza ni ndio - sharti agombee na achaguliwe.
   
 10. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata Chadema sasa itabidi wawe very clear, its not true kwamba wao wakiingia madakani watatekeleza sera zao, ama wataondoa kero zilizopo namna gani, watoe na realistic timelines, au la waliweke hili nalo liwe mjadala wa UMMA watu wachingine the best kusort out this mess up.

  Kwa mfano, sitaki kusikia uongo kwamba wao wataondoa kabisa Ufisadi, na wananchi wajue kwamba ufisadi hauwezi kutokomea kabisa, unaweza kuzimia tu lakini baadaye unaweza kuamka na nguvu zaidi, kwa hiyo watuelekze wanamikakati gani ya kuhakikisha kwamba watakabiliana na life cycle ya ufisadi sustainably wasije kuwa kama CCM, wakiondoka wakina SLAA, MBOWE wakachipuka watu wa Ajabu kabisa.

  Hii hoja ni ya msingi sana, na kwa sababu Chadema ndio the leading Political Party chances kwamba wanaweza kupata fursa ya kuongoza nchi yetu ni kubwa. tuna haki ya kujihakikishia kwamba uwezo wao wa kiorganization ni dhabiti. Watanzania tusifanye makosa ya kumuamini mtu mmoja pekee, tujifunze kutokana na kifo cha CCM, out past beloved mother. We need a strong organization.

  Hawa watu wanajadirika sababu ndio team iliyopo.

  ZITTO kishaanza kuonyesha kwamba angekuwa wrong candidate
   
 11. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #11
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Jibu rahisi kwa swali gumu!...
   
 12. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #12
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Your the great thinker!... Thanks!
   
 13. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  yani hili baraza liko weak sana,hivi huyu machemli angeweza kweli bomoabomoa kama ya magufuli! jamani tuache ushabiki hili baraza lisingetufikisha popote yani hapo naona vichwa viwili tuu au nchi ingeongozwa na kina sabodo au maaumuzi magumu kutoka kwa pengo au vatican
   
 14. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  laweza pia kuwa jibu gumu kwa swali rahisi. Fikiria...........mtu yeyote?
   
 15. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijaona chochote hapo zaidi ya ukanda, udugu na udini
   
 16. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #16
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Kwann unawaza hivyo?.. Kwa sababu ya imani ya Raisi!?
   
 17. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #17
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Sidhani!..
   
 18. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jibu gumu swali rahisi.

  CHADEMA wangeshinda nafasi ya Uraisi kwa idadi hiy hiyo ya wabunge? Huoni factors ambazo zingewawezesha CDM kushinda uraisi zingewawezesha kushinda nafasi nyingi zaidi ya wabunge hivyo mawaziri wangetoka kwenye pool kubwa zaidi? Na kama Dr. Slaa angeshinda angeteua wabunge kumi kwa mujibu wa Katiba huoni kwamba angeweza kuteua watu wenye uwezo pia kama hao mawaziri vivuli hawawezi?

  Maswali mengine ni ya kipuuzi sana. Ni sawa nikuulize ungezaliwa wa kike ungeolewa au ungekuwa msagaji? Hapo unajibu vipi? Yote hayo yanategemea various factors.

  Mawaziri Vivuli Chadema unaweza kuwapima kwa utendaji wao kama mawaziri vivuli. Huna haja ya kufanya assumption, wana majukumu yao kama mawaziri vivuli kwa hiyo wapime kwa kutumia utendaji wao na sio assumption.

  Karibu.
   
 19. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kaka hujui kama wadhamini wa chadema kama ni hao jamaa aliowataja Kashaga? Na pia akina Pengo wanajicholesha wanapoonekana kifua mbele kukitetea chadema. wao kama viongozi wa kiroho hawatakiwi kuonesha hisia zao dhahiri shahiri.Mnaowashangilia waangalieni sana wasituletee ya rwanda, maana walianza hivohivo.
   
 20. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kaka acha ussumptions hapa. wewe siunawajua walioshinda na walioshindwa ebu tupe list ya mawaziri kwa ufahamu wako
   
Loading...