Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakiwa na Katibu Mwenezi wa chama chake alitoa wito kwa wanaharakati hasa wanawake kulaani kitendo cha dc wa igunga kufumaniwa na viongozi wa cdm akitaka kubaka demokrasia. Chakushangaza hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hali Tete Uchaguzi Mdogo Igunga; Magari Ya CCM Yapigwa Mawe Mbuge wa Mtera, Livingstone Lusinde, akiwaonesha maafisa wa polisi sehemu ya kioo cha gari lake kilichopasuka baada ya kurushiwa mawe...
1 Reactions
85 Replies
8K Views
Nina Swali kwa Wana CCCM na Pinda mwenyewe: Kwani hao vijana wanapenda kukaa vijiweni??? Kwa nyenzo zipi ambazo CCCM imewapa vijana ili wajiajiri?? Elimu ipi Nyie magamba mmewapa vijana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wana JF. Tumekuwa na harakati za kuiona tanzania mpya inayoendana na rasilimali asilia tulizo nazo. Katika thread hii, nawauliza na naomba majibu ya kila mdau humu ndani. Uantaka tuwe na...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Wakuu, Nimesikia Waislamu wengi wakidai kwamba hawaipendi na hawalitaki Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) kwa kuwa liko chini ya Serikali na pia lilianzishwa na Serikali! Pia nimesikia kwamba...
9 Reactions
100 Replies
9K Views
Nianze kwa kuwasalimu wakuu! Naomba ifahamike kwamba mimi ni mwanaharakati na mwanachama wa CHADEMA kwa miaka kadhaa sasa(nimeweka wazi kwa kufahamu fika kuna watu hapa watasema nimetumwa na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
na Andrew Chale WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, amesema angependa kuona mwanamke anakuwa Rais katika moja ya nchi za Afrika Mashariki. Simba aliyasema hayo...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa nchini. Katika mabadiliko hayo, amewateua Wakuu wa Mikoa wapya...
9 Reactions
278 Replies
33K Views
Na Alfred Lucas - Imechapwa 14 September 2011 NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa hali si shwari tena. Wanaojiita waasisi wa "mpango wa chama wa kujivua gamba" wameanza kutuhumiana...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Sunday, 18 September 2011 20:35 WABUNGE WA CHADEMA WAHAMISHIWA MJINI TABORA Geofrey Nyangoro na Boniface Meena, Igunga WAKATI joto la uchaguzi mdogo wa Jimbo a Igunga likiendelea kupanda...
0 Reactions
86 Replies
9K Views
Katika kampeni za CCM huko Igunga sijasikia viongozi wa chama hicho wanaongelea masuala yanayoiunguza taifa kutopiga hatua mbele -- ufisadi, ukosefu wa umeme etc. Kwa nini wanapata kigugumizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hii dhana ya uanaharakati bila kupata majibu kwamba kuwa mwanaharakati ni lazima upinge kila jambo. nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mijadala ya kitaifa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
SENSITIVE E.O. 12958: N/A TAGS: PGOV PREL TZ SUBJECT: Opposition Chadema leaders critique the Kikwete Presidency ¶1. Summary: In a discussion with DCM, two leaders of opposition...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameoneshwa kukerwa na jeuri inayooneshwa na uongozi wa Mgodi wa Dhahabu wa North Mara (Nyamongo) unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold uliopoTarime katika...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Ndugu zangu wana JF toka jana nina faraja sana ya nafsi kuona angalau tunakaribia kwenye "nuru ya mafanikio". Jana nilikuwa na m/kiti wa CUF wilaya ya Tunduru kwenye mgahawa mmoja mjini Tunduru...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii, katika sakata la mwanaharakati msemakweli kumlipua Manji dhidi ya wizi wa fedha za umma, manji amejibu mapigo kwa kufungua kesi dhidi ya mwanaharakati msemakweli, akimwunganisha...
6 Reactions
142 Replies
16K Views
Leo gazeti la Majira limemnukuu Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario akitabiri kwamba CCM itashinda tu Igunga. Kauli hii imekaa vipi kutolewa na kada mkuu wa CCM katika Wilaya hiyo ambaye...
0 Reactions
100 Replies
8K Views
Naomba watu wanaofikiri kimantiki wanisaidie kwani mimi nashindwa kuelewa! Endapo Mheshimiwa Rostam aliachia ngazi kwa ajilli ya SIASA ZA KIUCHWARA ndani ya chama chake... inakuwaje anampigia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Prof Ibrahim .H. Lipumba amerejea kutoka igunga ambapo alikuwa anamfanyia kampeni na kumnadi mgombea wa chake cha CUF ambapo amemaliza siku zake za kampeni alizopangiwa na chama na anatarajiwa...
2 Reactions
120 Replies
13K Views
With Africa’s newest nation, South Sudan, expressing a keen interest to join the East African Community (EAC), who is likely to benefit the most and what does the new republic stand to gain by...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…