Prof Lipumba aenda World Bank

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
Prof Ibrahim .H. Lipumba amerejea kutoka igunga ambapo alikuwa anamfanyia kampeni na kumnadi mgombea wa chake cha CUF ambapo amemaliza siku zake za kampeni alizopangiwa na chama na anatarajiwa kuondoka wakati wowote kuanzia Leo kuelekea uswissi ambapo ameitwa na kupewa mkataba wa mwaka mmoja na nusu kama mshauri wa uchumi. watanzani tunakutakia kazi njema.
 
Penye RED: Nabii akubaliki kwao. JK ajawai hata siku moja kutaka ushahuri kwake.
 
inasemekana jamaa akiwa nchi za nje huwa anapewa heshima kuliko hata M.kwere
 
Hongera zake, jana nilikuwa nae hapa Dar mchana kwa maongezi mafupi.
Tupeperushie bendera yetu vema huko ughaibuni mzee.
 
Nenda kaka, watanzania kichwani kumejaa ugali mara nne wamekumwaga, lakini wenye akili wanajua thamani yako.
 
Kapata sababu nyingine ya justification ya kugombea urais kwa tiketi ya cuf 2015, wakati kapigwa chini mara nne mfulululizo utazania chama hakina wengine, kazi kwelikweli.
 
Sijaona watu wajinga kama watanzania.Mawazo gani haya ya kishenzi namna hii.Ovyoo.
Labda akiwa huko atapata akili kidogo ili aache kung'ang'ania kugombea urais pamoja na kushindwa mara nne mfululizo!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom