DC wa Igunga atabiri ushindi kwa CCM -- hii imekaaje?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Leo gazeti la Majira limemnukuu Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario akitabiri kwamba CCM itashinda tu Igunga. Kauli hii imekaa vipi kutolewa na kada mkuu wa CCM katika Wilaya hiyo ambaye anajificha nyuma la pazia la serikali? Inafaa CDM wawasilishe malalamiko yao kwa NEC mara moja.

Isitoshe huu utakuwa ni ushahidi mkubwa katika kesi ya CDM ya kupinga matokeo iwapo mgombea wa CCM atashinda.

Ni mwizi tu mama huyo, hana hata haya kuingilia kampeni za wengine katika kutaka kufanya hujuma. Kwa nini alienda katika eneo la kampeni za CDM pamoja na kwamba ana haki ya kuenda popote pale katika shughuli zake za kikazi. Angekuwa muungwana angesubiri CDM wamalize mikutano yao ule halafu ndiyo aende. Ni uchokozi tu na maoni yangu ni bora vile yaliyompata. Anaudhi sana.

Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
4,763
1,312
Leo gazeti la Majira limemnukuu Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario akitabiri kwamba CCM itashinda tu Igunga. Kauli hii imekaa vipi kutolewa na kada mkuu wa CCM katika Wilaya hiyo ambaye anajificha nyuma la pazia la serikali? Inafaa CDM wawasilishe malalamiko yao kwa NEC mara moja.

Isitoshe huu utakuwa ni ushahidi mkubwa katika kesi ya CDM ya kupinga matokeo iwapo mgombea wa CCM atashinda.

Mmh Mwingine au yule alotaka kubakwa ?

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Alikuwa anataka kitu hali ya hewa haikuwa muafaka kwake...Anaweza kuwa shekhe .....wao wa kutabiria mambo...

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,938
DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Kwakuwa wewe mwenye gpa ya 4.0 sio mvivu wa kusoma, ni katiba ipi ya Tanzania inayowatambua ma dc na ma rc? Ibara ya ngapi?

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
1,255
75
DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

To add credibility to your argument, citation is needed. Sio unakurupuka tu kama mtu anayeandika barua ya uchumba.!

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,504
DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

wewe uliyesoma katiba tuambie ni kipengele gani na cha section ipi kinachompa mamlaka mkuu wa wilaya kushabikia chama fulani ?? ukimaliza nami nitakupa kipengele kwenye katiba kinachompiga marufuku kiongozi wa serikali ambaye anatumia kodi za wananchi wote kutumika kwa ajili ya manufaa ya chama cha siasa.

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Nitajie kada wa CDM ambaye ni DC na halafu nipe namba yako ya simu nikutumie TSh one milioni sasa hivi kwa M-Pesa! Wacha huu wewe!

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
kwani kazi ya DC ni nni???si kuhakikisha chama tawala kinachukua jimbo unless pale penye utata sana lakini kwa kauli hii ka kweli SISIEM imekula kwao

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Nitajie kada wa CDM ambaye ni DC na halafu nipe namba yako ya simu nikutumie TSh one milioni sasa hivi kwa M-Pesa! Wacha huu wewe!

Hii ni nchi ya vyama vingi ndugu yangu. Sasa kama sera zenyewe za Chadema ni kupiga ma DC usitarajie hao hao unaowapiga wakushabikie.

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Watetezi wa magamba humu ndani wameanza kufikiri kwa kutumia ma..... yao!

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Nitajie kada wa CDM ambaye ni DC na halafu nipe namba yako ya simu nikutumie TSh one milioni sasa hivi kwa M-Pesa! Wacha huu wewe!

Wewe mwenyewe kodi ya nyumba unayoishi ni mtihani kulipa halafu unipe mil 1 mimi? Au ndiyo mbinu za kupiga mizinga?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225

Hii ni nchi ya vyama vingi ndugu yangu. Sasa kama sera zenyewe za Chadema ni kupiga ma DC usitarajie hao hao unaowapiga wakushabikie.

Na wapi zilipo sera za mapolisi wa magamba kuwauwa kwa risasi raia wasiokuwa na hatia? Una nazi badala ya kichwa?

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.
na miak 33 yako upo UDOM mwaka wa 1 nni???sijui katiba ipi unaizungumzia???au unasikia tu kila kitu kipo kwenye katiba na unadhani kuna kipengele kinamzungumzia DC,yule ni ceremonial leader tu

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,005
7,178
DC ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM Wilaya. Anapoongea inabidi uangalie platform, je anaongea kama kiongozi wa CCM au wa serikali. Kwa sasa katiba inaruhusu. kama inatukera, turekebishe katiba kwanza.

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,354
1,005
Duh tutayasikia mengi!! Nakumbuka wakati wa kampeni oct 2010, tuliweweseka na MS, naona this time wamefufuka wa kina mwita duh!!

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom