Simuelewi Marando.

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,695
1,243
Nianze kwa kuwasalimu wakuu!
Naomba ifahamike kwamba mimi ni mwanaharakati na mwanachama wa CHADEMA kwa miaka kadhaa sasa(nimeweka wazi kwa kufahamu fika kuna watu hapa watasema nimetumwa na Nape,Si Kweli..sijatumwa na sifikirii kutumwa kwa vile siipendi CCM,na simpendi Nape as well,make hana jipya!)
Wakuu nirudi kwenye hoja..
Hivi huyu kamanda wetu Marando na utetezi wa Manji imekaaje kaaje? Kwa madai yake ni kwamba Manji ni fisadi dagaa,je..
1.Chama chetu kinaunga mkono mafisadi dagaa?(naamini fisadi ni fisadi tu awe dagaa au papa)
2.Hivi kweli Manji ni fisadi dagaa kama alivyodai Marando kwenye mdahalo?
Ndugu zangu wanaJF,naomba mwenye uelewa wa hii issue anifafanulie zaidi labda mimi ndo sijamuelewa vizuri Mh.Marando.
Honestly naipenda CHADEMA na nahitaji kuona chama chetu kikiwa mfano wa kuigwa kwenye jamii!
Nawasilisha...

hoyce

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,117
297
Uwakili ni profession, amaruhusiwa kumtetea hata muuaji. Uwakili wake na unasiasa wake ni vitu viwili tofauti. Anachofanya kumtetea Manji si kazi ya chama bali yeye mwenyewe. Ni kama Lamwai aliyewatetea wazungu waliomdhalilisha mwanamke kwa kumkutanisha na mbwa.

sasa mkuu,
huoni kama italeta athari kwenye chama?
Marando atawezaje kusimama na kuupinga ufisadi jukwaani,then akautetea tena mahakamani?
Pata picha kama magamba wataamua kuitumia hoja hii kwa nguvu zote,huoni athari ya kupoteza uaminifu kwa wananchi?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,809
wanaharakati kwenye pesa,lol

humuelewi marando?na ringo tenga je?
wakili wa epa people?rafiki yake marando...

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,095
6,321
Marando ni mnafiki namba moja...anawatetea mafisadi na akisimama jukwaani anawasafisha...usiumize kichwa chako washabiki wa CDM hawalioni hili...

String Theorist

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
203
175
Nianze kwa kuwasalimu wakuu!
Naomba ifahamike kwamba mimi ni mwanaharakati na mwanachama wa CHADEMA kwa miaka kadhaa sasa(nimeweka wazi kwa kufahamu fika kuna watu hapa watasema nimetumwa na Nape,Si Kweli..sijatumwa na sifikirii kutumwa kwa vile siipendi CCM,na simpendi Nape as well,make hana jipya!)
Wakuu nirudi kwenye hoja..
Hivi huyu kamanda wetu Marando na utetezi wa Manji imekaaje kaaje? Kwa madai yake ni kwamba Manji ni fisadi dagaa,je..
1.Chama chetu kinaunga mkono mafisadi dagaa?(naamini fisadi ni fisadi tu awe dagaa au papa)
2.Hivi kweli Manji ni fisadi dagaa kama alivyodai Marando kwenye mdahalo?
Ndugu zangu wanaJF,naomba mwenye uelewa wa hii issue anifafanulie zaidi labda mimi ndo sijamuelewa vizuri Mh.Marando.
Honestly naipenda CHADEMA na nahitaji kuona chama chetu kikiwa mfano wa kuigwa kwenye jamii!
Nawasilisha...

kwa maslahi ya chama chako, sikuambii what is behind the scene. labda kazi yake ikiisha ndio naweza kusema.

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,956
8,354
kwa maslahi ya chama chako, sikuambii what is behind the scene. labda kazi yake ikiisha ndio naweza kusema.
Maslahi gan? Sema kama una kitu unakifahamu, vinginevyo utakuwa mzushi!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
19,540
23,950
mfano wewe ni doctor,mbaya wako ameleta mgonjwa wake hospital,utamtibu au hautamtibu.isitoshe kesi anayomtete manji siyo ya ufisadi ni mambo mengine kabisa.so si vizuri kupotosha watu.marando anasimamia kesi ya manji dhidi ya mengi.mambo ya ufisadi yanakujaje?.mia

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,695
1,243
mfano wewe ni doctor,mbaya wako ameleta mgonjwa wake hospital,utamtibu au hautamtibu.isitoshe kesi anayomtete manji siyo ya ufisadi ni mambo mengine kabisa.so si vizuri kupotosha watu.marando anasimamia kesi ya manji dhidi ya mengi.mambo ya ufisadi yanakujaje?.mia

Ni kesi ya ufisadi mkuu,wewe ndo unapotosha umma,kwani manji anamshtaki mengi kwa lipi!?
Kaka,hata me naipenda Chadema kama wewe,lakini naiangalia kwa mbali zaidi ili isije poteza mvuto kama CUF!
Acha ushabiki,Jenga hoja mkuu!

Hoja inapwaya...mia.

mlyamungo

New Member
Sep 9, 2011
4
0
kama humuelewi Marando utakuwa una matatizo binafsi kwani uelewa wako wa kuchanganya siasa na profesional unataka kuibua hoja nzito huku ukijua kabisa unachokizungumzia be open mahakama haitetei haki bali inatetea sheria proffesional unaweza ukafanya kitendo kinachofanana na wizii lakini ujavunja sheria.by the way marando yupo kazini kama wewe ulivyo kazini kazi yake ni kuitrapret vifungu vya sheria kama vilivyo andikwa na maana yake.ukisema unaipenda chadema huwezi kutoelewa jambo dogo kama hilo kaka naomba utoe hoja au ipeleke kwa watu wa ccm.ni hayo tuu kwa leo

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,721
6,466
kwa maslahi ya chama chako, sikuambii what is behind the scene. labda kazi yake ikiisha ndio naweza kusema.

mwenye uelewa tayari ameshajua unachokusudia kukiwasilisha kwa mtoa mada.

niweke wazi kuwa kufahamu chanell za mafisadi, huna budi kujiassociate nao, wakuamini, wakupe siri zao zote baada ya hapo wewe utavujisha siri na kuwalipua kupitia watu wengine. Hivvyo kwa maneno mengine inawezekana Marando akawa anaifanya kazi ya chama chake cdm

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,721
6,466

Ni kesi ya ufisadi mkuu,wewe ndo unapotosha umma,kwani manji anamshtaki mengi kwa lipi!?
Kaka,hata me naipenda Chadema kama wewe,lakini naiangalia kwa mbali zaidi ili isije poteza mvuto kama CUF!
Acha ushabiki,Jenga hoja mkuu!

msilumbane vijana.
ukweli ni kwamba ni kesi dhidi ya ufisadi iliyomshawishi manji kufungua kesi dhidi ya mengi na wenzake.
ikumbukwe kuwa, manji aliwarubuni CCM, wakaridhia kumwuzia maghala fulani hivi, baada ya hapo akaja akayauza kwa serikali kwa bei mbaya kabisa. kama sikukosea alitengeneza kama Billion 80. Mengi hakuridhishwa na utendaji wa serikali na mbinu chafu za Manji kujipatia fedha za walalahoi. ndipo menji alipoanza kumwandama kwa kumsema kuwa ni fisadi na mwizi mkubwa. Media za Mengi zilimrushia makombora hayo manji ndipo alipoamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya udhalilishaji na kudani alipwe na Mengi kitu kama biloni moja.
ndo kesi hiyo inaendelea.

Marando alipopelekewa kesi hiyo na Manji, akaona na yeye wakati wa kuvuna umefika lakini pia(maoni yangu) atapata nafasi za kulielewa jambo hilo vizuri. hovyo ataisaidia Chadema kuwalipua mafisadi

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom