Hi wana JF. Tumekuwa na harakati za kuiona tanzania mpya inayoendana na rasilimali asilia tulizo nazo. Katika thread hii, nawauliza na naomba majibu ya kila mdau humu ndani. Uantaka tuwe na Tanzania ya namna gani?