Kwa hili, Hakika CHADEMA ni CCM YA NYERERE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili, Hakika CHADEMA ni CCM YA NYERERE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mcheza Karate, Sep 19, 2011.

 1. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu wana JF toka jana nina faraja sana ya nafsi kuona angalau tunakaribia kwenye "nuru ya mafanikio". Jana nilikuwa na m/kiti wa CUF wilaya ya Tunduru kwenye mgahawa mmoja mjini Tunduru, ghafla akaingia mzee mmoja kikongwe akawa anamuuliza yule m/kiti "eti wale watetezi wetu wengine wa korosho kadema(akimaanisha CHADEMA)? Vipi watakuja lini tena".

  M/kiti yule wa CUF kabla ya kujibu akaninitazama hakika nilishangaa kuona mzee kama yule anafahamu mfumo wa vyama vingi, tofauti na wazee wa umri wake. Binafsi ni kiongozi wa CHADEMA mkoa fulani lakini sio huku niliko wiki hii(Ruvuma).

  Lakini kwa msisimko wa yule mzee hakika ameamini kuwa CHADEMA ni mwokozi wake na ni CCM YA NYERERE. Wanamapinduzi safari yetu ina mafanikio njiani. Au kuna anayebisha? Napenda kuwasilisha!!!!
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ccm ya uhuru haitakiwi tena baada ya miaka 50 kama binamu zake kanu,zanu pf.
   
 3. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  CDM ni CDM haiwezi kuwa CCM ya Nyerere, Wakati wa Mwl. CCM walikuwa wanaishi kwa nidhamu ya hofu wala si uzalendo. Angalia alipotoka madarakani tu watu wakaanza kujichumia, CDM hakuna nidhamu ya woga,ni zama za ukweli, upo nasi au haupo nasi full stop.

  Halafu wakati ule ilikuwa watu wengi hawajafunguka na kujua haki zao, CCM ilikuwa inaface challenge chache, sasa hivi na utandawazi huu halafu CDM inakubalika kihivyo, ujue CDM ni zaidi ya CCM ya wakati wowote ule.
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mkuu umekosea kufananisha CDM na CCM, hata ikiwa chini ya nani! Hivi viongozi wa sasa wa CCM enzi za Nyerere hawakuwepo?
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama Nyerere angefufuka leo akaona kwamba chama hicho ambacho sasa kimegeuka kuwa cha vurugu na kilichojaa undugu ndicho kile ambacho aridhishwa na sera zake! It is a pale shadow of its old self!
   
 6. H

  Hosida Member

  #6
  Sep 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is true kwamba tofauti kubwa kati ya CDM na CCM ni Uwazi, Haki na Uwajibikaji usiojali nafasi mtu aliyonayo katika chama. Katika haya matatu CDM imejijengee umaarufu na Heshima miongoni mwa Watanzania wapenda Haki na Maendeleo. Hivyo katika haya CDM haiwezi kuwa sawa na CCM ya wakati wowote ule kwa kuwa mambo haya matatu kwao yamekuwa kinyume chake.
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Now Proved CCM=Nyerere =CHADEMA

  Endeleeni kuji-expose
   
 8. T

  Tata JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe viongozi wa CHADEMA mnajilinganisha na CCM ya Nyerere. Ina maana leo hii CCM ikipata kiongozi atakayeamua kwa dhati kabisa kurudi kwenye sera za Nyerere kwa maneno na vitendo basi CHADEMA itafunga ofisi zake? Unataka kutuaminisha kuwa Mbowe, Slaa, viongozi wengine wa CHADEMA wanaamini kwenye siasa za ujamaa na kujitegemea kama zilivyoainishwa na CCM ya Nyerere? SIDANGANYIKI.
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huyo mzee wa miaka mingapi...............approximately???
   
 10. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu unaandika kama umelewa vile (kwa uelewa wangu) niambie hiyo ccm ya nyerere imewafanyia nini? hatuna elimu ukiwemo wewe (na ndo maana unapost none sense kama hizi), maisha magumu, uchumi down, hakuna hospitali (basi kama zilikuwepo basi tuoneshe hata hayo majengo au magofu yaliyobakia mbona mpaka leo tuna magofu ya wakoloni?) and every thing is poor. what is this?
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  What about CCM? Kimetupa mbali sera na falsafa ya Nyerere. Ni wizi mtupu kwenda mbele. It is a pale shadow of its old self!
   
 12. R

  Robert kivuyo Member

  #12
  Sep 19, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakuja kumaliza mzizi wa ubishi kwa wacopenda CDM,iko hivi huwa nashangaa kabisa nikifikiri safar ya wanachadema walipoanza na ss walipo.Nidhahir kabisa watanzania wanaanza kujitambua na ss wako tayar kujikomboa.MBISHI ANGALIA HAPA,TOKA VITI 5 VYA UBUNGE KWENDA VITI 45 NA USHEE ni dhihirisho kuwa Tz ss inakombolewa,vilevile kumbuka majimbo zote zilizochukuliwa ni yawalewale watz waliochagua ccm 2005.Bila ubishi CDM ni chama cha ukombozi kwa mtanzania kama Nyerere na Tanu iliyozaa ccm iliyogeuka chama cha kuturudisha utumwani 2kiteseka ktk nchi yetu wenyewe.CDM 2kaze buti Tz ni yetu inarudi kuwa mali ya watz wote na wala co ya tabaka fulan na watu fulan kama ilivyo ss.BISHA UFE.
   
 13. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja mkuu
   
Loading...