Nina Swali kwa Wana CCCM na Pinda mwenyewe:
Kwani hao vijana wanapenda kukaa vijiweni???
Kwa nyenzo zipi ambazo CCCM imewapa vijana ili wajiajiri??
Elimu ipi Nyie magamba mmewapa vijana wajiajiri?
Mashamba makubwa mmegawana Vigogo!!!! Mwinyi heka 2000, Mkapa heka 1000, Sumaye Heka 500.
Huko Mbarali wananchi wamefukuzwa na mtu mmoja Mwekezaji (akiwa nyuma ya Kigogo) amepewa ardhi kubwa la mpunga.
Acheni kusimama majukwaani kutoa hotuba, sasa ni wakati wa matendo ili wananchi waone uhalisia wa hotuba zenu.
Acheni vuvuzela majukwaani wakati hamna maamuzi yenye manufaa kwa wananchi.
Nasikia Eti Mizengwe umeita wadekezwaji waje Mpanda kuchukua ardhi, teh teh....