NEC inasema CUF wameshindwa kuwakilisha majina ya VITI MAALUM sio kwamba walikuwa wakisubiri upepo ili nao wafanye uozo wa kupeana na zamu hii wameambulia namba za viatu vya watoto. Ili haki SAWA...
Ndugu Watanzania wenzangu, leo tunakumbuka miaka 12 toka Muasisi wa Taifa hili la Tanganyika Mwalimu J. K. Nyerere kufariki dunia, pamoja na kuwashwa kwa mwenge wa uhuru ikiwa na maandaliozi ya...
Watu wanauliza hivi tumeanza mchakato wa kumtafuta mrithi wa JK sasa! Alama ya mshangao ni kwa wale waliobebwa na mazingira na si kwa wale ambao wana tawala mazingira yao. Ukigundua umekosea...
Wanabodi,
Hii ni ya moto kabisa, nadhani JF ndio wa kwanza kuitoa rasmi!.
Kitivo cha Sheria ndio kitivo cha kwanza kabisa kuanzishwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hivyo sherehe za...
Njozi ya Mwanakijiji
Na M. M. Mwanakijiji
KATIKA sehemu ya kwanza, nimejikuta nikisafirishwa kutoka katika ukingo wa Mto Detroit nchini Marekani hadi ufukweni mwa Bahari ya Hindi. Niliamshwa na...
Leo tunamkumbuka mwl. Jk nyerere baba wa Taifa letu, kijana huyu wa kizanaki aliukwaa uwaziri mkuu akiwa na miaka 36 na urais mwaka mmoja baadaye. NISIMWELEZEE SANA KWANI NAAMIN ANAJULIKA VEMA...
Maoni ya Bashe
http://www.mwananchi.co.tz/habari/49-uchaguzi-mkuu/15805-bashe-aipasha-ccm
MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Hussein Bashe, ameonya kuwa iwapo...
Nimesoma habari katika Tanzania Daima yenye kichwa cha habari" NHC yarudisha funguo za wazazi ccm" NHC yarejesha funguo za wazazi CCM katika habari hiyo inaelezwa kuwa Rais ameliambia shiraka hilo...
Wadau nawaomba MAGAMBA wakiamua kuilipa dowans basi wafanye siku ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa tanganyika au siku ya nyerere day ikishidikana wafanye 2015 wakati wa kikao chao cha kumteua...
Leo kuanzaia saa 2 had 7 katika viwanja ya mahakama ya kilwa masoko umati wa watu ulikuwa umejaa na FFU wengi wamemwagwa eneohilo,ilikuwa ni katika kusubiri hukumu ya kesi iliyodumu takribani...
Tanzania bara na tanzania-zanzibar ama tanzania bara na tanzania visiwani au tanzania na zanzibar au urt
hivi kuna uhalali gani wa haya majina katika matumizi
WanaJF
Uchaguzi wa Igunga unaendelea kuleta machungu.
Uchaguzi umeisha ingawa hatuna hakika kama ulikuwa huru na haki, kwani hadi sasa hakuna aliyelalamikia kwa hoja pale ambapo kura hazikutosha...
Itakuwa busara cdm wakikataa kumpokea huyu kijana kwa lengo la kumsimamisha kuwa kugombea ubunge labda awe mwanachama wa kawaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Mkosamali ana uwezo wa kawaida sana...
Jamani nilikua nasoma habari za mazingira hapa: Les détritus dans le Pacifique 2 - La Lettre Ecol'Eau nikaona hii picha ya msasani, roho ikauma sana.
Hivi kwa kuanza mabadiliko, almashauri ya mji...
tulijua watu watajichanganya sana.
vyama vyote vikaa kuwaza upande wa mashariki mwa tanzania kama sehemu ya kuanzia harakati za mageuzi.lakini sisi tunaanzia magharibi.wakati nyinyi mnalala...
Hakuna kitu Nyerere alikuwa anachukia kama yeye kugeuzwa kuwa centre of tension, hakupenda makuu alikuwa mpenda
watu na mchukia wala rushwa na watoa kila alipothibitisha tuhuma hizo. Leo hii...
Nimesoma na kusikitika sana kauli ya membe kwenye gazeti la raia mwema la jana 12-18/10 kwamba eti namnukuu 'Unajua ili uweze kujibu swali hili lazima uangalie matukio ya mwaka 2008. Mwaka 2008...
Kwa wakazi wa Moshi na maeneo ya jirani karibu kwenye mkutano wa hadhara utakao fanyanyika eneo la stendi kuu ya Moshi, madiwani wote wa CHADEMA na meya wa manispaa ya Moshi Mhe. Jafari...
Nadiriki kusema kuwa katika watu ambao wangekuwa na msaada mkubwa katika kuleta mabadiliko ni wanaharakati pamoja na wasomi. Watu hawa wanafanya makongamano na mikutano hasa dar tena maeneo ya...