Mkutano wa madiwani wa CHADEMA - Moshi Mjini kesho

Mkutano wa madiwani wa CHADEMA - Moshi Mjini kesho

MARUMARU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
250
Reaction score
54
Kwa wakazi wa Moshi na maeneo ya jirani karibu kwenye mkutano wa hadhara utakao fanyanyika eneo la stendi kuu ya Moshi, madiwani wote wa CHADEMA na meya wa manispaa ya Moshi Mhe. Jafari ataongoza jahazi,
 
Hongereni wana Moshi, mmejikomboa, upumbavu wa ccm mmeusahau. Mungu ibariki Tz.
 
utaanza saa ngapi ili nasisi wa huku arusha tuje kuwasikiliza...
 
Nawatakia kila la heri katika mkutano huo.Wanamoshi washajikomboa wengine mwangoja nini?hamjaona tu matatizo yanavyopandana?
Watanzania igeni mfano wa Moshi na Arusha!
 
saa nane mchana unakaribishwa kamanda
 
Hakutakuwa na maandamano au mmeogopa virungu.
 
Back
Top Bottom