Wanaharakati ni chanzo cha upuuzi unaondelea nchini

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
390
395
Nadiriki kusema kuwa katika watu ambao wangekuwa na msaada mkubwa katika kuleta mabadiliko ni wanaharakati pamoja na wasomi. Watu hawa wanafanya makongamano na mikutano hasa dar tena maeneo ya mahoteli ya kifahari na maeneo mashuhuri. Makongamano haya yanahudhuriwa na maprof na wasomi tu, mtanzania wa kweli ambae ndo mlengwa, anatagemewa apate mijadala hiyo kwa njia ya tv na radio. Kwa nini mnafanya haya huko dar pekee, njooni huku mikoani ambako ndiko kuna watz wanaotaka kufahamu kuhusu mabadiliko.
 
Huko huwa mnadanganyika kiurahisi kwa Tshirt, Kofia na Khanga za kijani na njano ndio maana wanawapotezea
 
Tanzania hakuna mwanaharakati, wote wana ganja njaa.
 
Back
Top Bottom